Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Nagu abwagwa ujumbe wa baraza la UWT Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by katesh, Oct 6, 2012.

 1. k

  katesh Senior Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uchaguzi wa UWT mkoa wa manyara umefanyika leo mkoani babati. Dr Mary Nagu amebwagwa na Martha umbula waliokuwa wanawania nafasi ya Ujumbe wa baraza Kuu la UWT Taifa.
   
 2. k

  katesh Senior Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uchaguzi wa UWT mkoa wa manyara umefanyika leo mkoani babati. Dr Mary Nagu amebwagwa na Martha umbula waliokuwa wanawania nafasi ya Ujumbe wa baraza Kuu la UWT Taifa.
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  fak em all.....(i hate this chama aisee....sorry)
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,090
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kumbe naye ana mbabe wake
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,673
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  poster and mods .... sahihi ni nini? abwagwa au? rectify if not correct ....!!!!!
   
 6. h

  hacena JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 620
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Martha Umbulla kambi ya Lowassa, du siasa kweli mchezo mchafu, kama Mery Nagu anaweza kumshinda Sumaye lakini anashindwa na Martha Umbulla
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,816
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  kila siku wao tu, kwani hakuna watu wengine huko magamba?
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii ina manufaa gani kwa taifa?

  shame on you
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,743
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Mkuu rekebisha
  AMEBWAGwA
  Kweli muosha kaoshwa kwa kitendo cha kufadhiliwa na FTS na kumkana hasira za wapiga kura nay zimemgeukia na yeye
   
 10. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,488
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Haituhusu,waambie magamba kina Ritz na zoba.HALAFU HAKUNA MKOA WA BABATI.
   
 11. o

  obwato JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,191
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hiyo lugha iliyotumika inanipa shida kuchangia, gbwaga na amebwaga zinamaanisha nini? Embu wataalamu wa vitenzi vishirikishi mtusaidie.
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,708
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mamvi hakuwepo huko
   
 13. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,540
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
  umeniwahi mkuu ndo nlikuwa nawahi kumwambia
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,323
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Laana ya Sumaye
   
 15. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  vip huko mr mamvi kashindwa kumsaidia?
   
 16. J

  Jadi JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  utawajua tu waliozaliwa miaka ya tisini,kweli hujui maana ya kubwagwa,au unaleta za kisharobaro?
   
 17. g

  geophysics JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  RIP....pole kwa kuwa upo hai....(sorry RIP kumbe si mahali pake hapa)
   
 18. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 6,904
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Kwani anaruhuciwa kuwa na nyadhifa zote hizo..? Juzi c ameshinda..? Hawa jamaa na chama chao..!
   
 19. P

  Penguine JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 952
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Masanilo,

  upembuzi yakinifu unabainisha kwamba hii waliocheza ni highest level of politcal trick. Hao wawili, Umbula na Nagu wako kundi moja la mgombea urais kwa mwaka 2015. Waliingia wote ktk kinyang'anyiro hicho ili kuwa-distance wasio wakundi lao. they there4 hv not lost the game, they hv rather won it. Laana ya Sumaye haipo hapo Masanilo.

  Nimewahi kueleza hapo awali kwamba Ngoyayi is perhaps the most strategic politician of country. Hata hii ni ngoma yake. Hao wengine ni wachezaji tu. Mimi na wewe ni watazamaji.

  Ni maoni yangu tu.

   
 20. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 17,286
  Likes Received: 13,128
  Trophy Points: 280
  Anataka kuwa na vyeo vingapi?

  Hivi hata nafsi yake haimsuti!

  ccm ni chama cha watu wa ajabu sana!

  Kwanini wasirekebishe katiba ya chama ili kuzuia watu wachache kuhozi madaraka mengi?
   
Loading...