Kibaya kupi? Umadandia comment sio yako kama sio shobo? Tuliza kibupa chapa lapa mbele
Wewe lete wapi pameandikwa shekhe mkuu anayo haki ya kuingilia faragha ya muumini yoyote wa kiislam? Km hakuna basi shona mdomo wako hujui unachokiongea

Pia leta wapi pameandikwa ni marufuku waislamu kuwaombea wakristu au wakristu kuwaombea waislamu, km huna fyta mkia wako kabisa
 
Mbona hata sioni sababu ya Dr. Mwaka kuongea yote hayo maana Sheikh Alhaj alichoongea kingebaki kama mtazamo wake tu sasa hayo ya kulawiti yanatoka wapi au Dr. Mwaka alienda kwa Mwamposa?
Kwa vile sheikh aliongelea yanayomhusu Dr. Mwaka, ni sawa na yeye kujibu. Kwani sheikh katajwa? yeye Dr. Mwaka kaongelea ukweli na kwa jumla jumla tu/ Ana haki ya kuongea au kwa vile sheikh wa mkoa kajihisi!
 
Ukiwa kiongozi wa dini halafu ukakemea maovu kwa mujibu wa dini unakuwa umeingilia faragha za watu?
Hurusiwi kukemea kwa waziwazi mpaka kila mtu anajuwa unamuongelea nani. Kwa nini sheikh mhusika asingemuita na kuongea naye kistaarabu, au viongozi wa dini ustaarabu hauwahusu.
 
Dr. Mwaka amjibu Shekhe wa Mkoa wa DSM

View attachment 2356179



View attachment 2356181

Dr. Mwaka amesema kuwa watanzania siyo wajinga na wanayofanyiwa wanayaona, Masheikh wachafu na wasafi wapo na watanzania wanawajua. Ushahidi wa Masheikh hawa wachafu, watanzania wanao na hata yeye Mwaka mwenyewe anao pia.

Akasema kuna watu ambao kwa sura ya nje wanaonekana ni Masheik/Wachungaji lakini ndani yao ni wachoyo, wasengenyi, wazinzi, walafi na kila aina ya takataka na baadhi yao wanafanya mambo yao kwenye ofisi zao.

Akaendelea kusema kuna baadhi ya viongozi wa kiislamu ambao wanafatwa na wanawake kwaajili ya kuomba ushauri dhidi ya ndoa zao lakini wanaishia kupewa dola 100/200 kuomba namba za simu na kuanza kuwatongoza. Ushahidi anao lakini hawaweki hadharani kufunika kombe mwanaharamu apite, na akitaka Mwaka atoe ushahidi huo aseme "Suuu!"



View attachment 2356405
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam alisema watu wanaharibu sana dini na kuingilia fani ambazo si zao, akisema mtu ambaye alisema Muislamu kuombewa dua na Mkristo ni sawa, na pia mtu anaweza kwenda kuomewa dua na Sheikh/Mchungaji wakati Mungu hana hata muda naye wakati Sheikh wa Mkoa akisema hii si sawa na haifai, ibada ya muislamu haiwezi kufanywa na asiyekuwa muislamu.

Waislamu na wakristo wasaidiane katika mambo mengine lakini sio kuombeana dua. Akasema Masheikh wafungue vituo vya dua vyao kuwasaidia wenye matatizo ili wasikimbilie kwa Mwamposa kwasababu haifai na siyo sawa kwa Mkristo kumuombea dua Muislam.
Hawa vimbwenelehi wanataka kututoa kwenye tensionnya tozo na mbanga za Nchemba.

Tumewastukia wanatumika
 
Maswali ya kidini yajibiwe kitaalamu na watu wenye kuijua dini,

Huyo Juma Mwaka anadai yeye ni Muislam, sasa kwa mujibu wa dni hiyo ni MAKOSA kulala kitanda kimoja na wake wawili

Sasa muwe mnajibu kwa kupitia dini ikiwa maswali ni ya kidini na sio MTAZAMO wa mtu binafsi
Umesoma na kuelewa au nirudie tena?

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Leta ushahidi kuwa ni makosa. Ni kifungu kipi, juzuu gani, surat ipi vinakataza mtu kulala na wake zake kitanda kimoja. Siyo kutuambia dini ya Kiislamu inakataza. Mtu yeyote anaweza kusema dini imekataza kumbe uongo. Leta ushahidi tujiridhishe.
 
Wewe lete wapi pameandikwa shekhe mkuu anayo haki ya kuingilia faragha ya muumini yoyote wa kiislam? Km hakuna basi shona mdomo wako hujui unachokiongea

Pia leta wapi pameandikwa ni marufuku waislamu kuwaombea wakristu au wakristu kuwaombea waislamu, km huna fyta mkia wako kabisa
Wacha ujinga zuzu mkubwa! Umeelewa nn namaanisha au shobo kausha sibishani na wajinga tafuta wapumbavu wenzio siepnde battle na madogo!

Huyo jamaa jiwe angavu kasema kwamba kufanya kitu fulani ni suna kama dhihaki kitu ambacho akipo ...sasa we na ujinga wako huelewi chochote unadakia pita kushoto!
 
Wacha ujinga zuzu mkubwa! Umeelewa nn namaanisha au shobo kausha sibishani na wajinga tafuta wapumbavu wenzio siepnde battle na madogo!
Kwa hio kuniambia kiistarabu umeshi ndwa hadi uniangushie mitusi kiasi hicho, alafu nani umemuona anataka battle na wewe nani mdogo ako? Acha dharau kua nyuma ya keyboard kusikudanganye unaweza ukawa unajibizana na baba ako kua na nidhamu kijana
 
Kila mtu apambane na dini yake

Kama we ni mkiristo ombewa na mkiristo mwenzako kama wewe ni muislamu ombewa. Na mwislamu mwenzako


Hatutaki tena hizi vurugu na mchanganyano na vijembe vya chinichini
Sisi wakristo tutaombea kila binaadamu maombi hayana mipaka tutafukuza maepo yote yaliyowaingia wanadamu wa Dini zote!,KARIBUNI KATIKA IBADA.
 
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam alisema watu wanaharibu sana dini na kuingilia fani ambazo si zao, akisema mtu ambaye alisema Muislamu kuombewa dua na Mkristo ni sawa, na pia mtu anaweza kwenda kuomewa dua na Sheikh/Mchungaji wakati Mungu hana hata muda naye wakati Sheikh wa Mkoa akisema hii si sawa na haifai, ibada ya muislamu haiwezi kufanywa na asiyekuwa muislamu.
Kule Zbr wanaokiuka si wanafuatwa na kutiwa bakora! Kwanini na hao wasitendewe sawa na huko
Akasema Masheikh wafungue vituo vya dua vyao kuwasaidia wenye matatizo ili wasikimbilie kwa Mwamposa kwasababu haifai na siyo sawa kwa Mkristo kumuombea dua Muislam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom