Dr. Mkumbo aula UDSM

Hivi kwa akili zenu mnafikiri kumng'oa Mwigulu jimboni ni rahisi kiasi hicho. haya mvimbisheni kichwa mwenzenu asifanye kazi kwa bidii awaze ubunge wa iramba magharibi, atapigwa chini mchana kweuupeeee.
 
hongera hongera mkuu na kweli you deserve it. You are a leader for sure hongera hongera mhe. Dr. Mkumbo. Hesima na salute kwako. Mungu akulinde
 
Kwa mara ya kwanza Mkandala amekubali kumpa kamanda cheo maana nakumbuka ya Prof Baregu. Vp kuhusu Dr Azaveli Lweitama?
 
Huyu bwana yuko well versed, utampenda katika kujenga na kutetea hoja. Haonekani kuwa biased!
 
Hongera Dr,wewe ni kati ya wasomi wanao simamia misimamo yao,wewe si mnafiki kama wale jamaa wa REDET.
 
big up mkumbo then prof baregu anarekebisha katiba prof safari ndani ya nyumba ww unasema cdm hakuna wasomi m4czeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyu alikuwa President wa Daruso mwaka 2000 na alifanya vizuri sana.

Akiwa A level Minaki pia alikuwa kiongozi.

Akiwa mwalimu UDSM amekuwa kiongozi wa UDASA ambao ni Umoja wa Wahadhiri wa UDSM (Vice Chairman).

Hizi zote ni nafasi za kuchaguliwa na watu.

Uongozi uko damuni mwake na pote alipowekwa kuwa kiongozi ali deliver.

Alikuwa Rais wa DARUSO 1998 na A-level alisoma Pugu na sio Minaki! UDSM aligraduate 1999
 
[Hivi kwa akili zenu mnafikiri kumng'oa Mwigulu jimboni ni rahisi kiasi hicho. haya mvimbisheni kichwa mwenzenu asifanye kazi kwa bidii awaze ubunge wa iramba magharibi, atapigwa chini mchana kweuupeeee.]

Kwani Mwigulu ni nani?
 
Good Mkumbo ni maendeleo ya haraka haraka sana....ukiwa Rais wangu wa Daruso late 1990s nililearn jambo moja kwako....kugoma kwa sababu ya issues na sio allowance peke yake kama ilivyokuwa mentality ya wanafunzi wengi wa chuo...nakumbuka tulivyojadili issue ya kuonewa kwa wananchi wa Kazimzumbwi na juhudi za kupigania haki yao chini ya uongozi wako....
 
Wewe decruca mwigulu amekuwa nani asinyang'anywe jimbo yule asiyeweza kujenga hoja,kazi yake ni kuwatumia wahuni kuharibu mikutano ya wenzake kwa kuwapa pesa na kusababisha vifo, na hyo damu iwe juu yake ikimlilia,damu ni nzito kuliko maji.

Sasahv kura zinalindwa muda wote nch nzima.

Tuone huyo atatokea wapi.labda aibe kama alivyofanya arumeru.
 
Zitto na Ben wao vipi? maana kuna kipindi Zitto aliasema anataka kufundisha ili amfuate swaiba wake mkuu Kitila...
 
Afanye kazi mwajiri wake aliomtuma, sio kuiba muda wa mwajiri wake kushinda JF na kupika majungu ya chademu.

Mbona wewe uko online??? Utajifanya eti ni mjasilia mali................hahahaaaa......... mjasilia mali hawezi kuwa na time ya kupoteza kwenye internet!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom