M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Huyu mheshimiwa sijui mshauri wake ni nani, angepeleka vyeti vyake kwanza TCU wakamsafisha ndipo afungue kesi hii, hapo angekuwa na very strong case lakini kwa jinsi alivyofanya kufungua hii kesi ya defamation ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwani mahakama haiwezi kusafisha taaluma yake, wanaweza wakasema kuwa amedhalilishwa ndiyo lakini kwani hiyo inahalalisha vyeti vyake vya taaluma si ni lazima arudi TCU