Little that I know about these wakubwa ni kuwa, projects nyingi za world bank, IMF, UN, zinahitaji watu wa PhD, na zinapitia kwa hawa watu, na kwa sababu hawana utaalamu wa kutosha inabidi wawapelekee PhD holders kwenye vyuo. Naona kinachofanyika ni ufisadi wa aidha kujifanya madalali au mtu wa kati. jamaa wenye genuine PhD wanapiga kazi, wanasubmit mzigo kwa wakubwa hawa, jamaa nao wanaanguka signature au kujifanya kazi hizi wamezifanya wote. This is what I know, wanazitumia kufanyia nini
Niliuliza huko nyuma kutaka sababu zingine zitakuwepo tu. I smell many bad things behind these PhD which is connected to donors.
kwa position zao walizonazo lazima kuna jambo wanafaidika- hata kama haliko wazi kwa jamii yetu au hatuoni kwa macho yetu!, na sisi vita yetu ni kuweka msingi wa kusafisha uozo wote huu kuanzia kwa wakubwa mpaka kwa mamesenja.
TCU imekuwa kama kwa daktari wa hospitalini; kila mtu anaenda kwa shida zake huyu jipu, huyu meno, huyu tumbo, ukiwauliza criteria gani wametumia kusema Mathayo ana vyeti genuine haijulikani, evaluation ya kitu lazima kuwe na known criteria ambazo naona hazipo. Hizi lazima zijulikane kwa wananchi wote.
This is true na jamaa wamechukua project nyingi sana kwa kutumia udaktari wao ambao uko questionable but kutumia na kupata PhD ambayo ni doubtful ni vitu viwili tofauti.
Ikiwa jamaa amepata PhD ya ajabu then akajua ni ya ajabu na akaendelea kuitumia then ana kesi ya kujibu kwani kisheria anakua amedanganya. But akiwa amepata PhD ya ajabu na akawa anaitumia pasina kuifahama is another case. ishu inakuja katika kufahamu je ana cheti sahihi au la. hapa unakuta ni kesi mbili tofauti swali linakuja je Mahanga alikuwa anajua kama ana PhD doubtful au alikuwa akijua ana PhD sahihi akawa anatumia haki yake ya kikatiba kuifanyia kazi. Hizi ni kesi mbili tofauti jamani.