Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

NZI na NYUKI hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo angavu, ndivyo watakavyoangamia WALIMU, WAFANYAKAZI wengine na WAKULIMA wanaolazimisha kutimiza NDOTO zao kupitia CCM.Sasa tuko kwenye kampeni rasmi dhidi ya CCM 2015, waliingia kwa mbinu watatoka kwa mbinu kama Dr DALALI KAFUMU leo ametoka kwa mbinu.
 
Wawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........h
Ninafurahaaaaaaaaaaa
Pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mtafute PakaJimmy kuna mzigo wako nimempa...........ujazilize hiyo furaha yako.

Pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................yaani kama namuona Mwigulu na yale mashavu yake mabaya alivyotahayari lol!..........Magufuli nae ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........Nape aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Jimbo lina mkosi hili kila wakati linakuwa wazi? Ila this time for benefit of Tanzanians. Damu iliyomwagika ya mwanachadema haijapotea bure bali imelia na Kafumu hadi Chali. Ni muda wa yeye kurudi kueleza alivyoshiriki kuuza madini yetu kwa kusaini mikataba feki. Hii dhambi ya kuuza nchi lazima iendelee kumfuatilia
 
sheria ni msumeno, mlifurahia mlipopata ahueni lile suala la mgomo kwa waalim - mkapata ahueni tena suala la madaktari -- sasa leo hii mnataka kuigeuka mahakama kuwa haijatenda haki?

Pole sana dr. kafumu ni vizuri sasa ukajikita kwenye sekta ya madini uliyosomea maana tunahitaji wataalam sana.
 
Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliye hai enzi na enzi!


2015 ninatamani iwe ndio kesho nione hawa mafisadi wataweka sura zao wapi!
 
mbona kwenye taarifa ya habari ya saa 7 mchana TBC 1 hawajatanganza? au ndio radio zilizochoka zinatoa ya ccm tu?

Ww TBC hawawezi kutangaza aibu hii hadi wape kibari cha Nape. News imetolewa na Radio one na ITV mkuu.saa nane kamili kwa kumuhoji kafumu mwenyewe,kamakachanganyikiwa vile ila nape kagoma kuhojiwa.
 
Wana JF, real source of information, wana tabora na ambao mpo eneo la tukio tupeni habari za uhakika nini kinaendelea mahaka kuu
 
Mbona tiyari magazeti yemeshatoa habari kuwa ubunge igunga umeteguliwa,mie nimesoma mwananchi kwenye mtandao.
Hio ilikuwa wazi ni jimbo la chadema hapo hapatoshi huo uchanguzi mpya ni balaaaaaaaaa m4c
 
Back
Top Bottom