Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,277
- 4,683
wewe nani wa kuniambia hivyo? Mimtu mingine bwana.
Nakushauri tena dada, si kila topic unaweza kuchangia, nyingine zinakuwa zinaeleweka zaidi kwa watu wenye interests nazo, vinginevyo unajichora tu hapa jukwaani.