Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
kusoma kwenyewe hata magazeti ya maana shida
lakini ya udaku watu watasoma ahdi nukta.
Bila kusoma hatuwezi kuwa na fikra mbadala tutabaki wadangayika huku tukilalamika kila kukicha
Basi issue hapa si kusoma bali ni kipi cha kusoma!!