Dr. Hon. Tundu Lissu presentation: PARAMOUNT ISSUES FOR CONSIDERATION IN THE CONSTITUTIONAL REVIEW

Hivi Tundu Lisu ni Doctor? Watu wengine bwana.
Kama Mary Nagu, Nchimbi,Mathayo David, Dalali Kafumu,Makongoro Mahanga na Jakaya ni madaktari wa falsafa (phd), na kama Kapuya, Majimarefu et al ni Maprofesa, kwa nini Tundu Lissu asiwe Daktari wa Falsafa ya na Sheria (LLD)?
 
Watu wana kazi nyingine za kufanya wewe zaidi ya hayo mainsha ya Tundu. Watu wengine bwana.

Ikiwa unaisha Dar, Arusha au Zanzibar, nikakuuliza; aah mama, unakazi nyingine ya kufanya? Utanipa jibu gani?

Usijewafanya watu wakapigwa ban bure kwasababu ya lugha chafu yenye ujumbe mchafu uliyoandika wewe, RS.

Kaa hivyo hivyo na uvivu wako wa kusoma.
 
Mh Tundu Lissu, heshima kwako. Kimsingi ameandika mambo muhimu sana!

Kwanza, amezungumzia mkanganyiko tulionao katika Muungano akionesha hatari za kisheria zilizopo ikiwa jambo hili halitaangaliwa sawa! Pili amegusia swala la uteuzi mbovu wa majaji wa mahakama zetu ambao umefanya mahakama kukosa hadhi na heshima yake na pia amezungumzia swala la serikali tatu! Ikumbukwe hapa alikuwa anapitia paper ya prof Wambali. Anawataka wanasheria wajitokeze na kusema badala ya kujifungia kwenye vichemba vyao vidogo.

Halafu kwenye uteuzi wa majaji ametoa mfano wa Dr Twaib (Fauz????) kupitia kesi aliyoamua Feb mwaka huu. Huyu amepewa ujaji muda si mrefu. Jaji mwenzake wa mahakama kuu aliamua kesi na kuimaliza, kisha yeye wa mahakama kuu hiyo hiyo akaipitia na kuitupilia mbali. Sasa hii ni kukosa adabu kwa hali ya juu (nadhani pengine alipewa kitu kidogo lakini kwa utashi wa kawaida huwezi kufanya hivi). Ieleweke jaji akishasikiliza shauri na kulitolea maamuzi (judgement and Decree) yeye na mahakama (kwa level hiy) wanakuwa functus officio. Maana yake hawawezi kurudi tena na kuamua tena juu ya shauri hilo, hata kama ni kurekebisha ikiwa atakuja kufahamu aliamua kimakosa. Cha ajabu huyu Dr Fauz amefanya jambo hilo. Ni jambo 'serious' na ndio maana mahakama ya rufaa imeugiza uongozi wa mahakama kuu kuchukua hatua za kufaa juu ya Dr Twaib! He has supprised me!
 
Mheshimiwa tafuta muda usome hiyo paper ya Tundu Lissu. Mimi siyo mwanasheria lakini nimeisoma yote na kwa kweli nashukuru kuwa ameleta yote badala ya kufupisha kwa mistari miwili au mitatu. Sioni ni jinsi gani mleta thread angeandika mistari miwili au mitatu kuhusu ujumbe alioutoa Tundu bila kuchakachua.

Ili mtu awe na weredi wa kuchambua mambo inabidi apende kusoma documents, mdau anataka atafuniwe au tumtafute Masoud wa kipanya aziweke kwenye cartoon ili iwe rahisi kwake
 
Mh Tundu Lissu, heshima kwako. Kimsingi ameandika mambo muhimu sana!

Kwanza, amezungumzia mkanganyiko tulionao katika Muungano akionesha hatari za kisheria zilizopo ikiwa jambo hili halitaangaliwa sawa! Pili amegusia swala la uteuzi mbovu wa majaji wa mahakama zetu ambao umefanya mahakama kukosa hadhi na heshima yake na pia amezungumzia swala la serikali tatu! Ikumbukwe hapa alikuwa anapitia paper ya prof Wambali. Anawataka wanasheria wajitokeze na kusema badala ya kujifungia kwenye vichemba vyao vidogo.

Halafu kwenye uteuzi wa majaji ametoa mfano wa Dr Twaib (Fauz????) kupitia kesi aliyoamua Feb mwaka huu. Huyu amepewa ujaji muda si mrefu. Jaji mwenzake wa mahakama kuu aliamua kesi na kuimaliza, kisha yeye wa mahakama kuu hiyo hiyo akaipitia na kuitupilia mbali. Sasa hii ni kukosa adabu kwa hali ya juu (nadhani pengine alipewa kitu kidogo lakini kwa utashi wa kawaida huwezi kufanya hivi). Ieleweke jaji akishasikiliza shauri na kulitolea maamuzi (judgement and Decree) yeye na mahakama (kwa level hiy) wanakuwa functus officio. Maana yake hawawezi kurudi tena na kuamua tena juu ya shauri hilo, hata kama ni kurekebisha ikiwa atakuja kufahamu aliamua kimakosa. Cha ajabu huyu Dr Fauz amefanya jambo hilo. Ni jambo 'serious' na ndio maana mahakama ya rufaa imeugiza uongozi wa mahakama kuu kuchukua hatua za kufaa juu ya Dr Twaib! He has supprised me!

Si kweli,
kwanza kabisa, muungano wa serikali tatu ni sawa na kumpulizia marashi nguruwe. Muungano unatakiwa uwe wa serikali moja, kama haiwezekani basi Tanganyika iwe na balozi wake Zanzibar and vice versa.

Pili, kuhusu imperial presidency na uteuzi wa majaji, hilo ni tatizo ambalo lipo more "Systemic" than constitutional. namshangaa sana ndugu Lisu anapoishia kwanye kifungu cha nane na kutoendelea na kifungu cha tisa.

Mwisho, wether he's competent or not, Dr. Twaib ni wa court of appeals na judges wa appellate courts ndiyo kazi zao kusikiliza kesi zilizotoka High court.

one more thang, punguza ushabiki, hawa watu wapo more philosophical (power hunger sugar-coated) than technical.
 
Watu wana kazi nyingine za kufanya wewe zaidi ya hayo mainsha ya Tundu. Watu wengine bwana.

Sasa kama wana kazi za kufanya kiasi cha kushindwa kusoma document fupi ya kurasa 15 tu wanachokitafuta humu JF ni nini? Si wakae kimya waendelee na kazi zao?
 
Si kweli,
kwanza kabisa, muungano wa serikali tatu ni sawa na kumpulizia marashi nguruwe. Muungano unatakiwa uwe wa serikali moja, kama haiwezekani basi Tanganyika iwe na balozi wake Zanzibar and vice versa.

Pili, kuhusu imperial presidency na uteuzi wa majaji, hilo ni tatizo ambalo lipo more "Systemic" than constitutional. namshangaa sana ndugu Lisu anapoishia kwanye kifungu cha nane na kutoendelea na kifungu cha tisa.

Mwisho, wether he's competent or not, Dr. Twaib ni wa court of appeals na judges wa appellate courts ndiyo kazi zao kusikiliza kesi zilizotoka High court.

one more thang, punguza ushabiki, hawa watu wapo more philosophical (power hunger sugar-coated) than technical.

Unaposema si kweli sielewi lipi ndio sio kweli! Nilichosema mimi au Tundu?
Kwanza, kuhusu serikali tatu ni msimamo wake kwamba hii nchi iwe na serikali tatu (siyo muungano wa serikali tatu kama usemavyo). Yaani zanzibar iwe na ya kwao, Tangayika ya kwetu na ya muungano kwa mambo ya muungano. Anasema hii ni federal state na sio unitary (hoja inayokubaliwa na Prof Shivji) wala a half way state between the two kama Prof Wambali anavyosema. Lipi si kweli?

Pili unaposema swala la uteuzi wa majaji na imperial presidency sio constitutional sijaelewa. Kama mambo haya yanakuwa regulated na katiba au kwa vyovyite vile yanapaswa kuwa regulated na katiba, kwanini yasiwe ya kikatiba bali kimfumo kama unavyotaka wewe? These matters are constitutional per se na ndio maana yanajadiliwa now wakati wa katiba. Hakuna mfumo wowote wa nchi unaojengwa nje ya katiba, sheria na sera za nchi. Prove me wrong.

Tatu, kuhusu Dr Twaib labda useme wewe ameteuliwa lini kuwa Justice of Appeal. Na kwa ushauri kidogo mambo haya yaliyo wazi usiweke uongo. Umesoma kesi aliyoambatanisha Lissu? Ni kesi ya Mohamed Enterprises (T) Ltd V Masoud Mohamed Nasser case no 127 of 2009, Court of Appeal of Tanzania before Bwana JA, Luanda JA and Oriyo JA. Hawa ndio waliokuwa wanasikiliza procedural irregularities za Dr Twaib na rulling yao wameifanya tar 17&27 August 2012 (yaani mwezi jana). Wakati huo Twaib alikuwa ni Judge wa mahakama kuu na akapitia uamuzi wa jaji mwenzie wa mahakama kuu Judge Mwarija. Sasa hayo unayoyasema kuwa Twaibu ni wa Court of Appeal umeyatoa wapi? Usiseme kitu kama hukielewi ndugu
 
Pitia hapa uone Justices of Appela COURT OF APPEAL TANZANIA
 
Pitia na hapa High Court of Tanzania – Commercial Division# nadhani hata sura ya Twaib utaiona
 
ingekuwa ni vizuri kutuwekea basi hata hiyo controversy kwenye mistari miwili mitatu badala ya kutubwagia mi-document mirefu kama gazeti la The Guardian la UK!

Ndio mana jamaa mmoja kwenye huu mukhtaza ameweka kwa signature yake maneno haya "miafrika ndivyo tulivyo"

Taki kusoma wewe?
 
Hongera sana Mhe.Tundu Lissu.. Nimefurahishwa na Mtu mmoja (Sijui ni ME au KE) kila mwisho wa neno lake anasema "Watu wengine bwana"... Kauli hizo mara nyingi huja baada ya kukosa majibu ya msingi na kuishia kumwambia mleta hoja "Mijitu minginge bwana"... So what?
 
Unaposema si kweli sielewi lipi ndio sio kweli! Nilichosema mimi au Tundu?
Kwanza, kuhusu serikali tatu ni msimamo wake kwamba hii nchi iwe na serikali tatu (siyo muungano wa serikali tatu kama usemavyo). Yaani zanzibar iwe na ya kwao, Tangayika ya kwetu na ya muungano kwa mambo ya muungano. Anasema hii ni federal state na sio unitary (hoja inayokubaliwa na Prof Shivji) wala a half way state between the two kama Prof Wambali anavyosema. Lipi si kweli?

Pili unaposema swala la uteuzi wa majaji na imperial presidency sio constitutional sijaelewa. Kama mambo haya yanakuwa regulated na katiba au kwa vyovyite vile yanapaswa kuwa regulated na katiba, kwanini yasiwe ya kikatiba bali kimfumo kama unavyotaka wewe? These matters are constitutional per se na ndio maana yanajadiliwa now wakati wa katiba. Hakuna mfumo wowote wa nchi unaojengwa nje ya katiba, sheria na sera za nchi. Prove me wrong.

Tatu, kuhusu Dr Twaib labda useme wewe ameteuliwa lini kuwa Justice of Appeal. Na kwa ushauri kidogo mambo haya yaliyo wazi usiweke uongo. Umesoma kesi aliyoambatanisha Lissu? Ni kesi ya Mohamed Enterprises (T) Ltd V Masoud Mohamed Nasser case no 127 of 2009, Court of Appeal of Tanzania before Bwana JA, Luanda JA and Oriyo JA. Hawa ndio waliokuwa wanasikiliza procedural irregularities za Dr Twaib na rulling yao wameifanya tar 17&27 August 2012 (yaani mwezi jana). Wakati huo Twaib alikuwa ni Judge wa mahakama kuu na akapitia uamuzi wa jaji mwenzie wa mahakama kuu Judge Mwarija. Sasa hayo unayoyasema kuwa Twaibu ni wa Court of Appeal umeyatoa wapi? Usiseme kitu kama hukielewi ndugu
Yeah, kuhusu Judge Twalib, nimekubali that was weird!!
 
Kwani wanamagamba wanajua kiingereza? Kama ile ya Kiswahili ya utetezi wa Tundu lisu walishindwa kuielewa, hii je itaeleweka?
 
Kama Mary Nagu, Nchimbi,Mathayo David, Dalali Kafumu,Makongoro Mahanga na Jakaya ni madaktari wa falsafa (phd), na kama Kapuya, Majimarefu et al ni Maprofesa, kwa nini Tundu Lissu asiwe Daktari wa Falsafa ya na Sheria (LLD)?

teh teh....I salute
 
Back
Top Bottom