Limbani
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 1,438
- 442
Wakuu,
Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!
Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.
My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?
Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?