Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Wakuu,
Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!

Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.

My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?

Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?

Well another week another Dr Dau thread

Isnt this amazing?

Tatizo hapa mleta hoja hana data wala taarifa za ukweli kuhusu hii issue na kama anazo basi kwa makusudi anajaribu kupindisha ukweli

Kilichotokea ni kuwa viwanja vilitangazwa pale kilindoni Mafia

Dr Dau aliomba akakosa lakini ndugu yake Mbaraka aliomba akafanikiwa kuupata

Huyu Mbunge wa Mafia bwana Buji ili kumnyamzisha naye alipewa yeye na mkewe mpya

Madiwani 5 nao walipewa ili wasinyamazishwe

Lakini suala la msingi hapa ni kuwa kwa sababu Mafia ni kisiwa kidogo na hakuna rasmlimali ya mtu zaidi ya kuwa na Kiwanja au ardhi na waliolalamika ksi Dr Dau pakee bali ni wananchi wa Mafia kuwa priority hawakupewa wao bali wa watu ambao hawana ukazi mafia lakini pia hawana nasaba na pale ili hali wenyeji walioomba wamenyimwa

Na kwa kuongeza tuu ni kuwa idara ya ardhi pale Mafia kumejaa ufisadi wa kupindukia. Imagine mtu kama mbunge wa Songea DEVOTH LIKOLOLA anapewa kiwanja lakini mzaliwa pale Mafia na aliyeoomba kihalali alikosa.

Wananchi wa Mafia waliiolalamika na si Dr Dau pekeee.

As I type imeundwa tume kuchunguza hili suala

Tusisahau kuwa huko nyuma hao maofisa pale wilani wanaogawa kiufisadihivi viwanja Kisiwani Mafia ndio hao hao walioidhinisha lile TAMASHA LA MASHOGA pale kisiwani
 
Ndugu hapo juu umeeleza ukweli wa mambo. Mbona viwanja wakipewa wasomali, waarabu, wazungu hamlalamiki Dr Dau akitetea wananchi wenzie wa Mafia maegeuka fisadi. Tusisahau bongo waiosoma wote ni mafisadi. Mdini nadhani hii hoja ya muislamu akifanikiwa basi kapendelewa ni hoja dhaifu. anyway mi sina dini.
 
Thanks! Umeeleza vizuri, na hiyo tume imeundwa baada ya Dr kuandika barua kulalamikia hilo zoezi la ugawaji wa hivyo viwanja, am I wrong?
 
hata huku Arusha ridhwan sio mzaliwa yeye ni wa
Bagamoyo kwa hiyo arudishe kiwanja cha burka?
 
Siku zote hakuna sumu mbaya kama hii mnayoipandikiza ya udini yote ni kwasababu hamjajua madhara yake, tafuteni hoja za msingi ndio tuweze kuzijadili hv mimi leo nikienda Mkoa Kilimanjaro kutaka kiamba nikakosa nitasema nimenyimwa kiwanja Kilimanjaro kwasababu ni Muislam. Nafasi za kazi zinazogaiwa TRA kila kukicha na sisi tunaona asilimia karibu 80 ni kutoka mikoa miwili tu, nadhani mngelipigia kelele na ili tungeona kuna usawa. Kwa hiyo suala la udini sio zuri sisi wengine tumechangia dini wazazi wengine Waislam na wengine Wakiristo, chonde chonde jamani tujaribu kufikiria kabala ya kuropoka.

Kweli tutakapoanza kushikiana mapanga utakuta hauendi mbali kwani hapo hapo nyumbani kuna mtoto wa mjomba au shangazi au baba mdogo au bibi au mke au... au... au..... ni wa dini nyingine, mungu apishilie mbali!!!
 
Ndugu ngwendu nikutoa mashaka, udini wa Dr Dau is beyond words! Ongea na watu NSSF watakueleza ujio wake hapo na mtazamo wake kuhusu 'makafiri'. Sick sick sick!

Mkisha kaa mbele ya screen zenu mnaandika chochote bila ya kufikiria madhara yake nyie ndio mtakuwa wa kwanza kulisambaratisha taifa hili na kaulizenu msizo zipima. na kutoa madai yasio kuwa na facts
 
Huyu Dr nilikuwa namheshim sana, ila kama nilichosikia kutoka huko kisiwani Mofia ni kweli basi mkuu huyu nitamshusha sana! Hizo zote ni harakati za kumwandalia ndugu yake mmoja mbeba box huku ughaibuni ili aje kuwa mbunge. Na hivi sasa naambiwa amepeleka vifaa chakavu kutoka nssf, na vingine kutoka UAE kwa maandalizi!
 
Ndugu ngwendu nikutoa mashaka, udini wa Dr Dau is beyond words! Ongea na watu NSSF watakueleza ujio wake hapo na mtazamo wake kuhusu 'makafiri'. Sick sick sick!

Haidhaniwi kua Tanzania kuna sheria inayomzuia mtu kumiliki idadi fulani ya viwanja na kama zipo basi more likely watu wa idara ya ardhi ndio watakua wahusika wakuu na sio Dr Dau.

Linalofahamika ni kua muanzisha mada inawezekana ana chuki banafsi na Dr dau kwakua hathibitishi madai yake kwa dalili kua Dr amefanya hivyo anavyodai na nini hakutoa result kimetokea baada ya Dr kushauri hivyo. Kwa maana hiyo madai ya muanzisha mada hayana msingi na kama atajulikana ni vizuri akaonywa kwani amemtuhumu mtu bila ushahidi wakutosha ingawaje ni mapema kukadiria madhara yatakayotokea kwa kauli yake ya uzushi.

What is certanly true is that, it is just an idea which cannot be taken serious, unless there is enough evidence to support his argument.
Dr Dau is wrongly accused and the claim is bogus. It can be concluded that there is no need to waste time on this. Dr Dau has many thing to do since he responsible for the whole sub Sahara plus Tanzania. We need leader like him, he has proved beyond reasonable doubt that he is capable.

Thanks wakuu kwa michango yenu, viwanja vimegawiwa Mafia maeneo ya Magemani lakn zoezi limesimamishwa baada ya Dr Dau kulalamika "juu" kwamba wakazi wa Mafia hawajapewa hivyo viwanja bali ni wageni ambao wengi ni watumishi wa serikali.
Bado hatujanyang'anywa hivyo viwanja hivyo hatuwezi kwenda mahakamani lakn itakapobidi tutaennda.

Soma vizuri post yangu, sio unakurupuka tu!!! Mimi mstaarabu siwezi kukutukana.

Siku zote hakuna sumu mbaya kama hii mnayoipandikiza ya udini yote ni kwasababu hamjajua madhara yake, tafuteni hoja za msingi ndio tuweze kuzijadili hv mimi leo nikienda Mkoa Kilimanjaro kutaka kiamba nikakosa nitasema nimenyimwa kiwanja Kilimanjaro kwasababu ni Muislam. Nafasi za kazi zinazogaiwa TRA kila kukicha na sisi tunaona asilimia karibu 80 ni kutoka mikoa miwili tu, nadhani mngelipigia kelele na ili tungeona kuna usawa. Kwa hiyo suala la udini sio zuri sisi wengine tumechangia dini wazazi wengine Waislam na wengine Wakiristo, chonde chonde jamani tujaribu kufikiria kabala ya kuropoka.

mbona anawajengea shule hapo mafia na nyumba hamsini za walimu hamsemi???
wajf wengine acheni kuleta chuki zenu binafsi humu,

Ndugu hapo juu umeeleza ukweli wa mambo. Mbona viwanja wakipewa wasomali, waarabu, wazungu hamlalamiki Dr Dau akitetea wananchi wenzie wa Mafia maegeuka fisadi. Tusisahau bongo waiosoma wote ni mafisadi. Mdini nadhani hii hoja ya muislamu akifanikiwa basi kapendelewa ni hoja dhaifu. anyway mi sina dini.

hata huku Arusha ridhwan sio mzaliwa yeye ni wa
Bagamoyo kwa hiyo arudishe kiwanja cha burka?

Thanks! Umeeleza vizuri, na hiyo tume imeundwa baada ya Dr kuandika barua kulalamikia hilo zoezi la ugawaji wa hivyo viwanja, am I wrong?

mikakati ya ubunge 2015 hiyo.

Kweli tutakapoanza kushikiana mapanga utakuta hauendi mbali kwani hapo hapo nyumbani kuna mtoto wa mjomba au shangazi au baba mdogo au bibi au mke au... au... au..... ni wa dini nyingine, mungu apishilie mbali!!!

Mkisha kaa mbele ya screen zenu mnaandika chochote bila ya kufikiria madhara yake nyie ndio mtakuwa wa kwanza kulisambaratisha taifa hili na kaulizenu msizo zipima. na kutoa madai yasio kuwa na facts

Huyu Dr nilikuwa namheshim sana, ila kama nilichosikia kutoka huko kisiwani Mofia ni kweli basi mkuu huyu nitamshusha sana! Hizo zote ni harakati za kumwandalia ndugu yake mmoja mbeba box huku ughaibuni ili aje kuwa mbunge. Na hivi sasa naambiwa amepeleka vifaa chakavu kutoka nssf, na vingine kutoka UAE kwa maandalizi!

Wanaotuhumiwa kufanya uhuni na ufisadi kwenye ugawaji wa viwanja kisiwani mafia ni Mbunge wa Mafia, pamoja na DC na baadhi ya maofisa mwaka jana waliorganise tamasha la MASHOGA kinyume na matakwa ya wananchi wa kisiwa hicho. Naona wameamua kuumaliza mwaka kwa kugawa ardhi ndogo ilipo ya wananchi kwa maswahiba wao bila kuzingatia udogo na wanamafia wenyewe. This wont end well kama ileee ya tamasha la mashoga kwani nalo lilipitishwa na hawa hawa wanaogawa ardhi kifisadi....hebu tujikumbushe yalojiri juu ya Tamasha la mashoga:

zaidi soma hapa:

YAH: KUPINGA TAMASHA LA MASHOGA KISIWANI MAFIA:
Sisi kama wenyeji wa kisiwa hichi na wenye nia uchungu na kisiwa hiki tumesikitishwa na hatua ya baadhi ya wenye mahoteli ya kitalii kwenye kisiwa hichi pamoja na uongozi mzima wa wilaya (DC) na halmashauri kutoa kibali kwa kundi la burudani toka Ugiriki kuja kufanya vitendo vya ushoga kwa kutumia mgongo wa Tamasha la muziki. Pia tumesikitishwa na DC wetu bwana Mangochie Manzie kukubali kutoa kibali kwa hawa vijana 3,000(revelers) bila kupata ridhaa ya wenyeji wa Kisiwa hichi (Public consultation). Tungependa ifahamike kuwa sisi kama wenyeji wa Kisiwa hichi tunakaribisha wageni lakini ni LAZIMA wazingatie na waheshimu mila na taratibu zetu na moja kati ya hizo mila zetu USHOGA haumo!

Kitendo cha kutaka kuleta vijana hawa mashoga hapa kisiwani kufanya vitendo vyao kwa siku 14 mfululizo hakikubaliki kimaadili na tunawaunga mkono wana Mafia na hasa wazazi ambao hawako tayari kuona watoto wao wakishuhudia vitendo vya kishoga, utumiaji wa madawa ya kulevya ambavyo ni si mila na desturi yetu kama waTanzania.

Kama mjuavyo Mafia ni kisiwa cha amani na ndio maana kimekuwa kinaongoza kwa utalii wa scuba diving duniani na tunaendelea kuwakaribisha watalii ambao wanakuja na kutuheshimu na wanaoelewa umuhimu wa kutunza mazingira ya kisiwa hichi.

Hivi kwa mfano mazingira yashachafuliwa ni sisi watu wa Kisiwa hiki ndio tutasafisha au halmashauri? je wanazo pesa za kusafisha na kuokota toilet papers zitakazo achwa na hawa Mashoga kwenye mashamba yetu?

Kwa kawaida ya Mashoga hawatokaa sehemu moja hapa kisiwani na watataka kwenda kufanya uchafu wao kwenye fukwe zetu hapa kisiwani, hivi Uongozi wa Kisiwa hichi utatoa polisi wangapi kwa kila kundi la hawa mashoga kufanya mambo yao? kwani sidhani kama wananchi watakaa na kushangilia vitendo hivi vikifanyika hadharani.

Tungependa kuufahamisha umma kuwa hawa waandaji tamasha hili lilipofanyika kwenye kisiwa cha Skyros, watu walililalamika sana pamoja na kuwa Wagiriki wana mitizamo ya ku liberali kwenye mambo haya lakini hali ilikuwa mbya kiasi cha Polisi kuvamia na kusitisha lile Tamasha kwani lilikuwa linaelekea kuvujinka kwa amani.

Katika kipindi hichi ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi je ni kweli Serikali inataka kuona uvunjikaji wa amani katika kipindi hichi tunachoelekea kwenye Uchaguzi kwa kukubali hili tamasha la Mashoga?

Je jeshi la polisi linazo resources za kulinda mashoga 3,000 usiku na mchana kwa siku saba mfulululizo?

Kwa nini Bwana Mike Athanassakis ambaye ndiye mratibu wa hili Tamasha hili la Mashoga hataki kukutana na viongozi wa Kisiwa hichi na kuwaeleza kwa kinaga ubaga nia yake?

Maandaji wa Tamasha hili wamesema wamepata ushirikiano wa karibu na kampuni ya uwindani na utalii inayojiita KARIBUSANA ambayo iko chini ya
Costa Coucoulis,Angela Damas,Chyrista Batou na Mark Evans ambao wanajiita wahifadhi wa mazingira kwenye tovuti yao lakini wakati huo huo wako tayari kuhakikisha kuwa mazingira ya kisiwa chetu yanachafuliwa na hawa wageni.

Je Mbunge na DC wa Kisiwa hichi watakuwa wanatekeleza ilani ya chama gani kulikubali hili Tamasha la Mashoga?

Je wilaya iliyo masikini kuliko zote Tanzania inahitaji Tamasha la muziki au tunahitaji miradi ya Maendeleo?

Je BASATA na Wizara ya Utalii wameamua ku promote USHOGA Tanzania?

Hospitali zetu hapa zinatia aibu na mbaya zaidi huduma za afya kwa mama zetu na dada zetu wanapojifungua zipo katika hali duni, hivi kweli mheshimiwa DC na timu yake wameona kwa sasa tunachohitaji ni hili Tamasha?

MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Friends Of Mafia: TAMKO KUHUSU TAMASHA LA MASHOGA

MICHUZI: Mafia kunani tena???
 
Kuwa Ramadhani Dau ni Mujahedeen haina ubishi; siku hizi nae anavaa yale mapete yao ya silver ya kijini jini walioachiwa na marehemu mlinzi wao!!

Issue hapa ni kuwa mko upande gani?

Mko upande wa hawa naoleta matamasha ya mashoga Mkisiwani Mafia au upande wananchi?
 
Lakini suala la msingi hapa ni kuwa kwa sababu Mafia ni kisiwa kidogo na hakuna rasmlimali ya mtu zaidi ya kuwa na Kiwanja au ardhi na waliolalamika ksi Dr Dau pakee bali ni wananchi wa Mafia kuwa priority hawakupewa wao bali wa watu ambao hawana ukazi mafia lakini pia hawana nasaba na pale ili hali wenyeji walioomba wamenyimwa

Na kwa kuongeza tuu ni kuwa idara ya ardhi pale Mafia kumejaa ufisadi wa kupindukia. Imagine mtu kama mbunge wa Songea DEVOTH LIKOLOLA anapewa kiwanja lakini mzaliwa pale Mafia na aliyeoomba kihalali alikosa.

Kama hii ndio hoja ya "uenyeji" na "wageni" ndio inasimamiwa basi waliosema kuna suala la Ubaguzi waweza kuwa na hoja zaidi. Binafsi ningependa kusikia hoja kuwa taratibu zimevunjwa au sheria fulani imevunjwa, rushwa n.k Lakini kwamba Mngoni hawezi kununua Kiwanja Mafia kwa sababu anatoka Songea SIYO hoja na ikikubaliwa Mafia itabidi ikubaliwe sehemu nyingine nchini. Itakuwaje Mzaramo ambaye anataka kununua kiwanja Bukoba? au Mnyaturu anayetaka kununua kiwanja Kisarawe?

Ningependa hoja itolewe ambayo haihusiani na kuwagawa Watanzania kwa misingi ya mahali wanakotoka kwani Mtanzania anayo haki ya kununua ardhi mahali popote katika TAifa lake. Itolewe hoja yenye nguvu kidogo kuliko yenye hisia za kibaguzi maana kama hoja ya mahali inaweza kutolewa na ikaangaliwa itakuwaje kama wale wanaopewa ni Wakristu na wakazi wengi wa Mafia ni Waislamu? Je, Wakristu hawawezi kununua ardhi maeneo ya Waislamu wengi?

Labda swali ni sheria au taratibu gani zilikiukwa katika kuwapatia hao watu wengine viwanja? Na ni kweli hakuna wazaliwa wa mafia ambao wamegawiwa viwanja hivyo au ni wale waliopewa ili kuwanyamazisha?
 
Wakuu,
Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!

Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.

My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?

Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?

wacha porojo ..
 
Dr Dau ni mtu makini sana na mchapakazi.Tatizo ninaloliona ni kwa baadhi ya watu kuwaandama viongozi waislam hasa wale wachapakazi bila hoja za msingi.Sijasikia mtu akilaumu uchapaji kazi wa Dr Dau zaidi ya hoja butu ati ni mdini.Dau ameongoza NSSF kwa mafanikio makubwa sana na naona watu wa aina yake kama yule wa NHC ndio wa kuwapa nchi.Maana tayari kuna kitu tangible wamefanya na tumekiona.sio tunashabikia MAHABUSU kila kukicha wale wa CDM ati CV zao wamejitoa mhanga kuwa wajelajela.upuuzi huu ndg zangu ktk imani ya ujamaa.

mkuu you have said it all couldn't agree any more ..... thank you ...
 
sasa mbona umeleta habari ya kumlaumu Dr. dau na kumbe unajua chanzo ni nini..??

Hujasoma vizuri heading yangu! Nasema "ameingilia" reason kwamba wamepewa wageni (watumishi wa serikali) na "wenyeji" au "wazawa" wa Mafia wamekosa! My take was; ss tunaoishi na kufanya kazi Mafia hatuna haki ya kupata viwanja? Ss si WaTz?
 
Mafia ni kisiwa kidogo.... sasa kama wageni mkipewa ardhi yote wenyeji watakaa wapi..?? na kama ulivyosema alafu wengi wakristo... while wakazi wa mafya wengi wa dini ya kiislam... huitaji kufikiri sana kupata jibu
 
Ndio tunalopinga hili, mnaweka udini na uzawa kwenye mambo haya wakati ni MAKOSA. Hivyo watu ambao si "wazaliwa" wa Mafia na si "waislamu" hawana HAKI Mafia? Mkuu statement yako si nzuri kwa kweli!!
 
Mimi naamini kila anayemuona mwenzake kwamba ni mdini basi na yeye ni mdini...ni kama ukisema mwenzako mchawi..basi bila shaka na wewe ni mchawi....

Imani yako itakuponya!La kwa Mtajwa juu ya udini nimesikia sana hilo jambo hasa kwenye Shirika lake la nssf!Waswahili husema lisemwalo lipo na kama halipo laja!Kwa NSSF jaribu kufanya situation and root cause analysis utaona!nafakiri ndio yaliyofika mafia
 
Back
Top Bottom