Dr Aman Walid Kabourou ashinda nafasi ya M/Kiti CCM mkoa wa Kigoma

Unajuaje labda kamlala?
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.

Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!
 
aliesema akirudi ccm atamlala mama yake ni Tambwe Hiza aliekuwa CCM-B enzi hizo na sasa yupo CCM-A,

nadhani majibu ya kiapo chake mnakiona, baada ya kurudi kweli CCM-A akili yake imewehuka, chizi si chizi.

labda atekeleze kiapo chake kwanza ndio akili itatengemaa....
 
Hivi kigoma ina kilomita za mraba ngapi? eti wanataka kutangaza jamhuri yao!
 
Uchanga wetu wa Siasa tu ndugu zetu waKenya wameruhusu wiki iliyopita kubadilisha vyama [Pary Hoping] mpaka less than 3month kwenda kwenye uchaguzi. Hapa kweli inabidi upigwe matusi kupita kiasi.

Mnatakiwa Kuelewa Hata akina Slaa walikuwa CCM waliokuwa wakiwapinga NCCR, na waliondoka CCM baada ya kushindwa Chaguzi.
 
  1. SANZUGWAKO alikuwa NCCR mbunge baadae alirudi CCM akawa wazir
  2. Walid kaburu alikuwa CDM na sasa anakula mema ya nchi CCM
  3. zITTO KABWE cdm na sasa anakula mema ya nchi CCM huku akiwa bado CDM, HAMMER, NGO iliyolipwa jasho la watu wa kahama na buzwagi
  4. Kafulila cdm TO nccr NAYE ANAKULA mema ya nchi kupitia Mahakama

Analysis yako ni kiboko!!
 
Tunampa hongera!!
Ategemee kupambana na Zana Za Kilimo(ZZK) mwaka 2017 kwenye nafasi hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom