Dr Aman Walid Kabourou ashinda nafasi ya M/Kiti CCM mkoa wa Kigoma

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Uchaguzi uliofanyika jana na matokeo yake kutangazwa saa 9 usiku na Dr Kabourou katangazwa kuwa mshindi kwa kumshinda mpinzani wake Ndg. William Ntahindula Luturi. Kwa taarifa huyu jamaa alishawahi kuwa chama cha upinzani na akaisumbua sana CCM

SOURCE. Mjumbe aliyekuwa ndani ya ukumbi
 
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.

Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!
 
Ukigoma wao na misimamo yao inahusiana namna gani? Hivi hujaona wanasiasa kutoka sehemu zingine waliotoka na kurudi walikotoka isipokuwa kigoma?
 
Bado yupo tu huyu msaliti? muulize anajisikiaje kwa M4C, mkoa wote mbona una majimbo mengi ya upinzani?
 
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.

Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!

  1. SANZUGWAKO alikuwa NCCR mbunge baadae alirudi CCM akawa wazir
  2. Walid kaburu alikuwa CDM na sasa anakula mema ya nchi CCM
  3. zITTO KABWE cdm na sasa anakula mema ya nchi CCM huku akiwa bado CDM, HAMMER, NGO iliyolipwa jasho la watu wa kahama na buzwagi
  4. Kafulila cdm TO nccr NAYE ANAKULA mema ya nchi kupitia Mahakama
 
Uchaguzi uliofanyika jana na matokeo yake kutangazwa saa 9 usiku na Dr Kabourou katangazwa kuwa mshindi kwa kumshinda mpinzani wake Ndg. William Ntahindula Luturi. Kwa taarifa huyu jamaa alishawahi kuwa chama cha upinzani na akaisumbua sana CCM

SOURCE. Mjumbe aliyekuwa ndani ya ukumbi
kwanini watangaze muda huo???
huyu jamaa watu wa Gungu hawana hamu nae,
 
Dr.Kaburu aliwahi kupokewa kwa mbwembwe kutoka stesheni na kubebwa kwenye kiti maalumu na wapagazi hadi Ujiji(km.8). Kipindi hicho alikuwa CHADEMA.
 
................. Kigoma Kigoma......... zamani kulikuwa na migebuka kwa wingi, dagaa wa kigoma kwa sasa hawashikiki bei ya kilo moja ni zaidi ya 15,000/=
 
Dr.Kaburu aliwahi kupokewa kwa mbwembwe kutoka stesheni na kubebwa kwenye kiti maalumu na wapagazi hadi Ujiji(km.8). Kipindi hicho alikuwa CHADEMA.

Kaburu alichoshwa na Kampuni chadema ya mbowe,AKAONA AONDOKE ZAKE.Ya nini chama cha kikanda bora akajiondokea,wengine wanavumilia tu
 
kutoka katibu mkuu chadema mpaka mwenyekiti wa ccm kigoma.kama si upuuzi ni nini?kwisha kabisa.ndo mbunge wa kwanza kutoka upinzani.
 
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.

Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!

Hofu yako juu ya watu wa Kigoma binafsi sina tatizo nalo, shida yangu ipo hapo kwenye Red uliyoweka mwenyewe, nahisi unachanganya na yule Nyara ya taifa, mzee Tyson, kwanza ndiye aliyekua NCCR Mageuzi na aliwahi kuwa Mbunge vile vile na ndiye aliyetamka hayo maneno makali, tena aliienda mbali zaidi na kusema, siku atakapo rudi ccm labda akiwa maiti, Dr. Kaburu hakuwahi kuwepo NCCR Mageuzi, alikua CDM, na amewahi kugombea Ubunge na Muhindi 1 anaitwa Premji!
 
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.

Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!

Huyo ZZK anaonekana anakuwasha washa lazima umtaje kila pahala bila hata hoja ya msingi, Yale maneno ya mabumba mwenyekiti wa Bunge kuwa kuna watu wanawashwa washwa ni dhahiri.
 
Hawa majamaa wanahistoria ya kuhamahama sana mwngine anaitwa Kifu gulam husen alikuwa mbunge kigoma kusin(NCCR) 2000. Alihamia ccm akaacha na ubunge.Now Dc mbalali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom