Download free JF application for Blackberry

jamani niulize swali eti hii application itafanya kazi kwenye os7
 
Mkuu Young Master mi ninachojua ni BB curve 8520 kuhusu hiyo OS hapo umeniacha sina ufahamu na hvyo vtu
 
Last edited by a moderator:
Nisaidie mkuu,yangu ni 9000 bold.. nimeifungulia uzi hapo chini utaona,yaani siingii mtandaoni kabisa..
Nimenunua kwa mtu simu yenyewe..

huingii mtandaoni kivipi? umelipia internet ya blackbery kutoka kampuni husika ya simu?
 
Mkuu Young Master nimejiunga vizuri nakifurushi cha BB cha voda,tatizo kuna ujumbe unaokuja ninapojaribu kubrowse,unasema "This is a Wi-Fi service. Please ensure your device has an active Wi-Fi connection and try again"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Young Master nimejiunga vizuri nakifurushi cha BB cha voda,tatizo kuna ujumbe unaokuja ninapojaribu kubrowse,unasema "This is a Wi-Fi service. Please ensure your device has an active Wi-Fi connection and try again"

Mhmmm!!!! Sasa hapo mkuu itakuwa ngumu kukusaidia hadi niione simu maana nashindwa kutambua tatizo liko wapi...ila jaribu ku disable WiFi halafu uone kama tatizo bado lipo.
 
Mhmmm!!!! Sasa hapo mkuu itakuwa ngumu kukusaidia hadi niione simu maana nashindwa kutambua tatizo liko wapi...ila jaribu ku disable WiFi halafu uone kama tatizo bado lipo.

Imekubali na ndo naitumia kwa sasa. Nilienda kwenye configurations kisha kuna sehemu nikakuta options 3,yaani blackberry,internet options,na firefox. Nikachagua BB. Kisha nika save. Ikakataa kwa muda hadi baadaye ikakubali yenyewe.
Nashukuru mkuu.
 
Imekubali na ndo naitumia kwa sasa.(u) Nilienda kwenye(/u) configurations kisha kuna sehemu nikakuta options 3,yaani blackberry,internet options,na firefox. Nikachagua BB. Kisha nika save. Ikakataa kwa muda hadi baadaye ikakubali yenyewe.
Nashukuru mkuu.
:smash:
 
Alietengeneza app ya JF for android afanye update,inagoma kujiunga internet mr kwa mr,button ya 'enter' haioneshi sign yyt whn u press it inakua ngumu kujua umebonyeza au vp!
 
Back
Top Bottom