Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App Worldili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Young master umetutelekeza huku.jf
Kwenye z10 inapatikana?
mejaribu na ki 8520 BB changu menizingua mapaka sasa inakataa kufungua baada ya kudownload..
Kwa sasa application hii haipatikani kwenye Blackberry OS 10.
Kwa sasa application hii haipatikani kwenye Blackberry OS 10.
Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App Worldili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Mie nina tecno M3 smart ninatumia jf app.je inautofauti na hiyo app for blackberry?