Download free JF application for Blackberry

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo
Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App World
ili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
 
Hii application ni tofauti na ile ya android? halafu aliyeitengeneza ile ya android aiupdate basi. Iko kizamani sana..
 
Hii application ni tofauti na ile ya android? halafu aliyeitengeneza ile ya android aiupdate basi. Iko kizamani sana..

Ndio mkuu. hii ni tofauti. Hii ni JF ya application kwa ajili ya blackberry.
 
Our apologies:
It looks like you are using an older or
unsupported Web browser.
Although you can browse BlackBerry App
World with your current browser, some
features may not be functional.
Continue browsing..
•••••••••••••••

OS yango 6 lkn haikubali kabisa.
 
The app is good nimeitumia for more than a week, though inazingua at times when switching to 2G whereby a popout comes oftenly ili uchague connection type, other than that its good maybe update yake ikitoka, topics zinazoload kwa pamoja ziongezeke maybe 10, 15 or 20 if possible

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Our apologies:
It looks like you are using an older or
unsupported Web browser.
Although you can browse BlackBerry App
World with your current browser, some
features may not be functional.
Continue browsing..
•••••••••••••••

OS yango 6 lkn haikubali kabisa.

Mkuu, unapata MSG hiyo kwa sababu unatumia browser ya Operamini or UC-browser, unatakiwa kutumia native browser ya Blackberry au kama BB yako ina AppWord itumie kusearch "Jamiiforums"
 
kazi nzuri!. Tatizo haina swagga za JF! Appearance yake imetofautiana kidogo unless ni setting's zangu maana kuna msg ili appear i should my setting's to a number of Shinang'nang's sikuzielewa otherwise niwasiliane to a certain person on gmail.
Good work, though improve the appearance.
 
Nimejaribu kuunganisha lakini inazingua sana ! I strongly suggest iwe downloaded kama application ya kawaida ya Facebook, Twitter na zingine nyingi !
 
Hapa nawapa 5 Tano JF team kwa great app coz na enjoy JF hapa kwa BBM like never b4 natumia curve 8520 poa sana yaani am proud nilizoea kuona app kama hizi kwa forum za nje kwa hapa salute.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ujinga tuu ,, mara ifanye kaze mara igome , nimerudi keenye browser kawaida na nnainjoy kuliko hilo li App.
APN setting error kila saa inaalert hivyo ,hata uset Vp .
 
Back
Top Bottom