haibreus
JF-Expert Member
- Oct 1, 2009
- 295
- 106
Mzee nasikia kuna season kama 20 hivi zaja.jiandae!ni muvi kali sana bana!Ali Hadaiwi kasamehe deni ahaaaa ahaaa huu mchezo wa kuigiza sijui episode zake zitaisha lini
Mzee nasikia kuna season kama 20 hivi zaja.jiandae!ni muvi kali sana bana!Ali Hadaiwi kasamehe deni ahaaaa ahaaa huu mchezo wa kuigiza sijui episode zake zitaisha lini
kuna habari zimeenea huku mitaani kwetu kwamba nchi hii inajiongoza yenyewe , Rais hana uwezo wa kutawala na hukuna tofauti yoyote ya rais akiwepo au akiwa hayupo. kweli watanzania tunastahili pongezi tunaweza kujiongoza wenyewe
Capacity charges to be paid by tanesco dowans wakifanya biashara ni chamtoto kwa hiyo 94bn!!!
Sio wajinga dowans hao!!!
Na kwanini Radio Tumaini iwe ndio source ya hiyo habari kubwa hivi, wakati tunajua hiyo redio inaishia Magomeni, na sisi wa huku SWEKA hatuijui!
JK anangoja ROSTAM amwelekeze cha kusema...Otherwise asingekaa kimya wakati nchi ipo kwenye hali ya hatari hivi!
Na warudishe mihela yetu waliyokuwa wanaichota TANESCO kila siku kitapeli kupitia mikataba yao hewa, wasijitoe ufahamu
Ngeleja hafai
Ww nadhani wafaa na hv mchicha mwiba unafaa sana !
Na kweli DOWANS ni kama DAYS OF OUR LIVES unaona mchezo unaelekea kuisha mara inaanza episode mpyaDays of our Lives
Nadhani walikuwa wanasoma yaliyoandikwa kwenye magazeti ya leo. Liko gazeti limeandika hivyo; nilikuwa nasikiliza kipindi cha watanzania tuongee magazeti cha RFA lakini kwa bahati mbaya sikupata jina la gazetiNa kwanini Radio Tumaini iwe ndio source ya hiyo habari kubwa hivi, wakati tunajua hiyo redio inaishia Magomeni, na sisi wa huku SWEKA hatuijui!
JK anangoja ROSTAM amwelekeze cha kusema...Otherwise asingekaa kimya wakati nchi ipo kwenye hali ya hatari hivi!