DOWANS waisamehe TANESCO deni lote!

Sn2139

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
834
250
Kwa taarifa ya Radio Tumaini, leo asubuhi saa 3, Dowans wamekubali kusamehe shirika la TANESCO deni la Bil 94. Hii naona ni habari njema. Kitu ninachojiuliza ni sababu ipi iliyopelekea hatua hiyo kutoka kampuni ya DOWANS kufikia uamuzi huo kwa sasa.
 
Haitoshi tunataka mitambo itaifishwe kwanza nasikia wanadaiwa na benki karibu bil.100 halafu pia walikuwa hawalipi kodi.
 
Haitoshi tunataka mitambo itaifishwe kwanza nasikia wanadaiwa na benki karibu bil.100 halafu pia walikuwa hawalipi kodi.

Na warudishe mihela yetu waliyokuwa wanaichota TANESCO kila siku kitapeli kupitia mikataba yao hewa, wasijitoe ufahamu
 
kuna habari zimeenea huku mitaani kwetu kwamba nchi hii inajiongoza yenyewe , Rais hana uwezo wa kutawala na hukuna tofauti yoyote ya rais akiwepo au akiwa hayupo. kweli watanzania tunastahili pongezi tunaweza kujiongoza wenyewe
 
Kwa taarifa ya Radio Tumaini, leo asubuhi saa 3, Dowans wamekubali kusamehe shirika la TANESCO deni la Bil 94. Hii naona ni habari njema. Kitu ninachojiuliza ni sababu ipi iliyopelekea hatua hiyo kutoka kampuni ya DOWANS kufikia uamuzi huo kwa sasa.

Capacity charges to be paid by tanesco dowans wakifanya biashara ni chamtoto kwa hiyo 94bn!!!

Sio wajinga dowans hao!!!
 
Kabla sijasema kitu, hebu nifafanulie wamesamehe vipi. Kwa maandishi au kwa maneno? Kama ni kwa maandishi unaweza kumwambia kibaraka wao yeyote (Hata kama ni January Makamba) abandike hapa?
 
Kwa taharifa ambazo mimi ninazo ni kwamba Dowans wapo tayari kuisamehe Tanesco lakini kwa masharti maalumu.
Bado hawajawasamehee ila wapo tayari endapo watakaa na kuzungumza na Tanesco wanatakiwa wayakubali hayo masharti ya kifisadi.
 
Mimi kinachonishangaza ni matamshi ya Ngereja na Mwanasheria mkuu kuwa hatuna namna kukwepa kulipa hilo deni, je kwanini sasa imewezekana? Tena bila nguvu ya sheria na mahakama?
 
Niichosikia ni kuwa wanataka walipwe bilioni 24 za umeme wanaodai walizalisha lakini kwa mkataba upi????????????????????????????
 
Na kwanini Radio Tumaini iwe ndio source ya hiyo habari kubwa hivi, wakati tunajua hiyo redio inaishia Magomeni, na sisi wa huku SWEKA hatuijui!

JK anangoja ROSTAM amwelekeze cha kusema...Otherwise asingekaa kimya wakati nchi ipo kwenye hali ya hatari hivi!
 
Hii inatupa picha gani?? KWeli kama walikuwa na mkataba kweli wakosamehe kuna kitu hapa inabd Serikali ituambie ukweli tu.
 
Kwa taarifa ya Radio Tumaini, leo asubuhi saa 3, Dowans wamekubali kusamehe shirika la TANESCO deni la Bil 94. Hii naona ni habari njema. Kitu ninachojiuliza ni sababu ipi iliyopelekea hatua hiyo kutoka kampuni ya DOWANS kufikia uamuzi huo kwa sasa.

Kama ni kweli tayari wameshaona kuna namna nyingine ya kuzipata hizo hela. Utaja sikia wameingia mkataba na serikali wa kuzalisha umeme huku wakilipwa mil 150 kwa siku!
 
Mimi kinachonishangaza ni matamshi ya Ngereja na Mwanasheria mkuu kuwa hatuna namna kukwepa kulipa hilo deni, je kwanini sasa imewezekana? Tena bila nguvu ya sheria na mahakama?
Achana na huyo kijana kiziwi na siyejifunza!
Anatakiwa kwanza kabisa anywe sumu kabla hatujamshika, maana ametudanganya mchana hadharani kuwa wamiliki wa Dowans ni wale jamaa 6!...Sasa imekuwaje hasemi kitu, au kukanusha taarifa yake ya awali baada ya kuja kwa Al- Hadaiwi??
 
Serikali iende Bungeni na Kutaifisha Bila Fidia hii kampuni na mali yote iliyopo Tanzania. Fedha iliyonunulia mitambo ya Richmond ni mali ya umma wa Tanzania, iliyokwapuliwa toka BoT's EPA.

Kama kutokana na "capacity charges" Tanesco waliolipa kwa mitambo hii, Watanzania wamateseka, ni Dowans wangetuomba radhi. Tanesco wawe na wazalendo wanaoweza kuona huu wizi wa Richmond/Dowans.
 
Kwa taarifa ya Radio Tumaini, leo asubuhi saa 3, Dowans wamekubali kusamehe shirika la TANESCO deni la Bil 94. Hii naona ni habari njema. Kitu ninachojiuliza ni sababu ipi iliyopelekea hatua hiyo kutoka kampuni ya DOWANS kufikia uamuzi huo kwa sasa.

Na Gharama za kuendesha kesi zinazotakiwa kulipwa ICC nazo watazibeba wenyewe? Maana kama wanasamehe na hiyo hasara ya gharama nayo wailipe wao
 
Ali Hadaiwi kasamehe deni ahaaaa ahaaa huu mchezo wa kuigiza sijui episode zake zitaisha lini
 
Hii inatupa picha gani?? KWeli kama walikuwa na mkataba kweli wakusamehe kuna kitu hapa inabd Serikali ituambie ukweli tu.
 
Na Gharama za kuendesha kesi zinazotakiwa kulipwa ICC nazo watazibeba wenyewe? Maana kama wanasamehe na hiyo hasara ya gharama nayo wailipe wao
Kinachofanyika sasa hivi ni ku-twist akili za watanzania yaani tunakuwa tossed front and back, left and right, up and down
 
Back
Top Bottom