Dola kuishughulikia CHADEMA

Lakini kuna mambo yanapita bila kujadiliwa kwa undani.

Je mheshimiwa Mabere Mrando amefuata nini CHADEMA na ni kwanini anazungukazunguka ndani ya wigo wa siasa za vyama vingi ambao yeye alishiriki kuuanzisha akiwa NCCR Mageuzi?

Mtu wa pili ni huyu mheshimiwa Arcado Ntagazwa nae vipi leo akiwa mwanasiasa mkongwe anafuata nini CHADEMA?


KANA KWAMBA HAITOSHI ...MARANDO HUYU HUYU NDIYE..... ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA EPA....! SEE THE OTHER SIDE OF CHADEMA NOW...! THEY FOOL THE FOOLS...!

Hata mimi nina mashaka sana na Mabere Marando. Huyu jamaa ni usalama wa taifa damudamu nafikiri ndo maana yuko akiwatetea mafisadi wa EPA kwa vile walikuwa ni mawakala wa kuwapatia CCM pesa. CHADEMA wasidanganyike na maneno mazito ya Marando dhidi ya CCM kuhusu pesa za EPA mwaka 2005. Huyu jamaa yuko kazini. At a certain time "t" atawavuruga kama alivyowavuruga NCCR akishirikiana na mwana usalama mwenzake Lyatonga Mrema.
 
Ndio nimeiprint, ntaipiga photocopi then ntasambaza sehemu mballimbali
 
Back
Top Bottom