Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Naona ameangalia shavu !!!!! hahaha ahahaha ahahahHahaha MTM, utamjuaje mtu kachoka mkuu? Mwili tu?

Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.
sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi
wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa
na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri
Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Kuna tetesi kuwa haya matawi ya ccm ni kwa ajili ya kuuza pooda. Fatilieni wandugu.....................
Lisemwalo lipo. Mbona hata hapa bongo wamachinga wakianzisha biashara sehemu isiyoruhusiwa wanaanzisha shina la ccm la wakereketwa??Duu nimestuka nilidhani ni habari za uhakika
pesa mmetumiwa toka nyumbani?
kwa kuongezea tuu ni kuwa imeundwa kamati ya kufuatilia na kujua pesa zimepotelea wapi
so far tunaambiwa kuwa kati ya milioni 300 na zaidi zishaliwa zaidi ya 150 na zingine zinaendelea kuliwa
Pesa imetoka Tanzania kwa dola lakini ikija huku inaingia kama paundi...mind you kumbe pesa zilitumwa kisiri siri
sasa pesa zimepotea...huku kinachoendelea tunaambiwa ohhh tuunde kamati. mimi najiuliza kamati ya nini wakati ni straight fwd case?
Pesa imetumwa
Pesa zimeingizwa kwenye akauni ya mtu/kampuni
Pesa zinaonekana zimepungua
Pesa hazionekani
watu wanaanza kulalamika ndio inajulikana kuwa alaaaaa kumbe kuna wajanja washakulaaaaa bas vikao tukaanza kufanya kwa kuuliza kulikoni
In short waliochonga dili mpaka pesa zikatumwa wakawa wamepotea
sasa kamati iliyoundwa watu washaanza kuzungumza kuwa walipiwe ticket za kwenda bongo kuchunguza....na safari kama mjuavyo, kutakuwa na ticket, matumizi etc
This is indefensible. Sisi kama chama UK tulitakiwa tusaidie watu nyumbani kwani walau tuna wepesi wa maisha lakini watu bila aibu wako bize kula pesa.