Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

ccmuk

Member
Jun 21, 2011
20
7
attachment.php

IMG_1067.JPG
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
 
Toka mwanzo watu wenye akili zao walishaona haya. Watu waliokuwa mbele kwenye mambo ya uongozi sifa zao zinajulikana. Na bado tutasikia mengi.
 
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Source?
 
kama ni ccm safi sana nawapa tano hao wezi, mpaka chama cha magamba kife, wangekuwemo jf ningewagongea na thanks.
 
kubeba mabox unafikiri mchezo??watu wamechoka,wanatumia kila mwanya unaopatikana,kurahisisha maisha!
 
Duh,

Hii unaweza kutufahamisha inaashiria nini mkuu? Be frank...

Inaashiria mambo kadhaa kama vile

-Uongozi wetu hapa hauna maslahi kwa chama wana wanachama

-Sisi tunafanya mambo kwa pupa mno bila ya kuwa na mipango

-Kweli tulikuwa na mipango mingi lakini hii inaashiria kuwa hatuko makini kwenye mipango na si wakweli

-Tumekuwa wabinafsi na mambo kama haya ndio ambayo yanatufanya sisi wengine tuvunjike moyo na viongozi wetu

-Tumekuwa detached from the real issues....kweli tunahitaji kuimarisha chama Diaspora lakini hakuna maana ya kutumiwa pesa hizo halafu tunazifuja

-Akina Susan Mzee (CCM Reading) wanalaumiwa kama ndio walio suka dili zima la kula pesa lakini hata kamati iliyoundwa hatuna imani nayo sisi wengine kwani imejaa wale wale ambao si waadilifu

-Chama UK kimekuwa hakituambii ukweli wa hili jambo na kusema ukweli sisi wengine tumekuwa demoralised kabisa

-Katika hali ya uchumi ilivyo nyumbani the last thing tunachohitaji ni kutumiwa mapesa mengi kama haya. Sisi wenyewe tungeanza kujipanga na kuanza jambo then tungeomba kusaidiwa half way through lakini sio hii style ya kupewa pesa kwani tunajua leo London, Kesho Mosco, kesho kutwa kwa bwana William New York etc
 
ccm ni chama cha wezi, viBaka na majambazi, unashangaaje hilo la kudokoa hata chumbani kwao...wamekomaa katika wizi
 
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongoziwenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwana si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuriTunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchisasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
Magamba kwel hawana aibu, wamekwapua ndani ya Nchi wameona haitoshi, sasa wana-export ufisadi!Haya, na wafadhili wayaone hayo sasa huko UK!Kaaaz kwel kwei!
 
Hivi kuwa na tawi la siasa ulaya faida yake nini hasa kwa mwananchi mlalahoi Tanzania?hivi wakuu haiwaumi nyinyi mnatumiwa dola 250,000 huko ulaya eti kwa ajili ya kuimarisha chama,wakati huku nyumbani huduma muhimu za kijamii kibao zimekwama na hizi pesa ni nyingi na zingeweza kusaidia sana kama zingepelekwa huko?Wewe uliyeleta thread haikuumi ukiona picha kwa michuzi kinamama wamelazwa chini baada ya kujifungua,halafu wewe unafurahia kuimarisha chama huko ulaya?
Halafu Mh Rais anasema Tanzania haina pesa ndiyo maana haiendelei,hivi kweli jamani wakati pesa zenyewe ndiyo hizi zinafujwa tuu hovyohovyo
 
Ufisadi,..Wizi,..ubadhirifu ni mambo ya kawaida kwa ccm!!..tena hicho kiasi ni kidogo mbona.
 
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Usajili wa umoja wenu sheria za nchi zinasemaje ? Hao walio kula pesa za umoja wanaweza kukipata cha moto nendeni polisi kwa kuazia na wizi wa CCM huo sijui inakuwaje lakini hao viongozi wenu si mliwajua kabla ?

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
 
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
Ukiambiwa ujiambie !!! ilikuwaje CCm Tz kutuma dola badala ya £ ?au zilitokea amerika
 
Back
Top Bottom