Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

Kampuni iliyoihuzia tanzania rada B.A.A imekubali kulipa pesa lakini wamesema watatafuta shirika lolote la misahada<NG'O>wapitishie huko hizo pesa kwa kuofia kupotea kinyemela wakiipa serikal ya magamba kwa kuwa inaongoza kwa tuhuma za rushwa.source wapo radio fm "patapata"
 
Mali ya baili uliwa na wadudu. Ccm wanaacha wabongo njaa wanawatumia wanao ela eti sijui ya kununulia vitenge na bendera za ccm! Kwa malkia? Kama mna njaa rudi huku bongo mle na Tambwe hiza. Yan badala ya kutafuta njia za kuwasaidia watanzania kwa kutuma "remittance" nyie mnataka kutumiwa! Iyo ela wametumiwa hao walokula ili watanue,nyie hamuusiki ktk mgao,ya nini mlalame? Narudia kama ni ya ccm kuleni maana kampuni hii ya ccm imefika mwisho.
 
attachment.php


Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Mi nilidhani hao wa nje ndio huwa wanawatumia hawa wa huko tz hela kumbe wao ndio wanatumia..salaleh!
 
attachment.php


Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Ikumbukwe daima katika CCM na serikali hii iliyopo mradi au kusudio la kufanya kitu fulani kwa manufaa ya jamii au wana jamiii ni "DEAL "hiyo miradi au makusudio ya kufanya kitu fulani ni upenyo wa kupitisha ufujaji wa pesa za walalahoi,kama kiasi cha fedha kilichofujwa ni 250000 huko Uingereza jua ya kua huko zilikotoka (Katika CCM au serikalini)Ni mara mbili au zaidi ya hizo zilizofunjwa huko Uingereza.Hii ndiyo formular ya mafisadi kufuja pesa za walalahoi.
 
Kuna tetesi kuwa haya matawi ya ccm ni kwa ajili ya kuuza pooda. Fatilieni wandugu.....................
 
Mimi kuna kitu ambacho pengine sijaelewa, hivi matawi haya ya vyama nje ya nchi makusudi yake hasa ni nini?, wadau naombeni msaada huwa nakaa nafikiria sipati jibu kabisa.
 
Ukitaka ku-disect hii habari huwezi pata majibu.
Nani aliituma hiyo fedha, kwa kazi gani? Je ni utaratibu wa CCM kuyatumia matawi fedha nyingi kiasi hicho? Je ilikuwa kwa ajili ya nini? Je ni fedha ya chama au kuna mtu katumia jina la chama kufanya biashara zake.

Kwanini iwe Uingereza pekee, mbona wana matawi kibao nje ya nchi. Je hiyo ni bajeti ya tawi kwa mwaka, mwezi au robo mwaka. Kwa mkaguzi wa mahesabu wataiona?

haya matawi ya CCM yana mambo mengi kuliko siasa. Sasa tukae mkao wa kula watasemana wenyewe kwa wenyewe. mgogoro wa kimaslahi ndio ulimfanya Maajar akataka kuacha kazi ubalozi uingereza, pale walipokutana anga moja na wana CCM wenzake. mkuu wa kaya akasyepa. Akampeleka kwa Obama.

Matawi ya CCM nje + ccm = ufisadi + biashara haramu. Watch out
 
kwa kuongezea tuu ni kuwa imeundwa kamati ya kufuatilia na kujua pesa zimepotelea wapi

so far tunaambiwa kuwa kati ya milioni 300 na zaidi zishaliwa zaidi ya 150 na zingine zinaendelea kuliwa

Pesa imetoka Tanzania kwa dola lakini ikija huku inaingia kama paundi...mind you kumbe pesa zilitumwa kisiri siri

sasa pesa zimepotea...huku kinachoendelea tunaambiwa ohhh tuunde kamati. mimi najiuliza kamati ya nini wakati ni straight fwd case?

Pesa imetumwa

Pesa zimeingizwa kwenye akauni ya mtu/kampuni

Pesa zinaonekana zimepungua

Pesa hazionekani

watu wanaanza kulalamika ndio inajulikana kuwa alaaaaa kumbe kuna wajanja washakulaaaaa bas vikao tukaanza kufanya kwa kuuliza kulikoni

In short waliochonga dili mpaka pesa zikatumwa wakawa wamepotea

sasa kamati iliyoundwa watu washaanza kuzungumza kuwa walipiwe ticket za kwenda bongo kuchunguza....na safari kama mjuavyo, kutakuwa na ticket, matumizi etc

This is indefensible. Sisi kama chama UK tulitakiwa tusaidie watu nyumbani kwani walau tuna wepesi wa maisha lakini watu bila aibu wako bize kula pesa.

Mkuu naomba unijibu, malengo yenu ya kuanzisha tawi la CCM huko UK ni yapi?
 
Hii issue mimi naona iko more than serious, jamani hela nyingi hivyo inatumwa toka Tanzania kwenda Uingereza tena kwenye tawi la chama ambalo mimi naamini halina mchango wowote kwa nchi yetu, cha kushangaza utakuta kuna wanafunzi wako nje wanasota hawana hela halafu chama tawala kinapata mafungu ya kutuma nje kwa wanachama wake, Ndugu ccmuk ningekuwa na nafasi ya uongozi kwenye chama chenu ningevunja matawi yote yaliyoko nje na kama mtu anakipenda sana chama arudi nchini aanzishe tawi. hii nchi ni kiboko!!
 
Hivi tutafika kweli?
Kila m2 ni mbinafsi lakini sisiemu wamezidi jamani - tuwafanyeje?
 
attachment.php


Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.

sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi

wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa

na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri

Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi

sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila

Hii taarifa mbona haijakaa vizuri? Kama Chief Mkwawa alivyouliza;
1. Hii pesa imetumwa na nani? Chama, serikali, taasisi, mtu binafsi au nani?
2. Pesa ilitumwa kwa nani? Kwa tawi au mtu binafsi?
3. Ilitumwa kwa sababu gani?
4.Je tawi liliomba msaada wa pesa kwa ajili ya mpango maalum au ni ruzuku kwa ajili ya matawi yote.
5.Tawi lina akaunti? Je limewahi kupata pesa nyingine hapo awali?
6. Wasimamizi wa masuala ya pesa katika tawi ni nani? Nani Mwenyekiti, nani mweka hazima na ana mamlaka ya kutoa pesa benki kama tawi lina akaunti?

Amandla.......
 
Nasikia kuna mtumishi wa dini mmoja alichota pesa za msaada wa waioona/wenye ulemavu akafukuzwa utumishi na sasa anawika kwenye siasa. Wizi ni wizi tu ufanywe na mwanasiasa au raia.
 
Viongozi wa CCM - UK wamekaa kitapelitapeli ile mbaya. Ukitembelea ofisi zao ni uswahili kwa kwenda mbele. Vijana walioshindwa maisha ndiyo utawakuta katika ofisi hizo. Kuna kijana anaitwa Tino (anajulikana kwa utapeli toka Tanga), cha kushangaza ndiye mkurugenzi wa miradi yote ya CCM - UK.
 
Nasema hiviiiiiiii, kwa mtu mwenye akili timamu kuishabikia CCM kama siyo kwa sababu ya hela, basi yahitaji uwe na moyo wa mwenda wazimu.
 
Unauliza maswali na majibu unayo? Kuna asiyefahamu kwamba misingi ya chama chenu ni wizi? Mmewaibia wananchi sasa wamechacha mnaibiana wenyewe, gamba lenu huko UK halijakomaa mlivue?
 
Back
Top Bottom