Elections 2010 Dogo ataka urais

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Katika gazeti la Mwanahalisi la leo, anaonekana mtoto anayekadiriwa kuwa na miaka 12 akiwa na bango likisema "KIKWETE KAMA NCHI IMEKUSHINDA NIPE MIMI" nionavyo hii ni kejeli iliyopitiliza katika urais wa nchi. Nani anayekejeli hii heshima? Ni huyu mtoto, Kikwete au Gazeti? Tafakari
 
he must be joking!! hajui hawezi kuwa rais mpaka afikishe miaka 40!... au mku ulimuamini kama anataka uraisi kweli..?!
 
Kwani Kazi ya kula Chips akifanya mtu Mzima na mtoto pia nae anatamani aendelee kula kwa kuwa nae anaiweza!! Sasa kwa nchi yetu urahisi umerahisishwa hadi yule mtoto anaona anaweza kuchuana na mtu mzima kama yeye!!!!! Tafakari
 
Anayo maana ya ndani anayotaka uitafakari. Kwani humwoni alivyochoka hata viatu hana? Isome picha kiundani zaidi upate maana!


READ EVERYTHING BELOW THE LINES; THINK CRITICALLY!
 
Mtoto amechnka,amechakaa kwa ufupi hana hamu na maisha chini ya ungozi wa kikwete baada ya kugundua rais ndiye anayesababisha maisha yawe magumu.
 
Me nahofia tu usalama wa huyu mtoto kwa hiyo dhihaka yake kwa ******.
Ila sasa: hayo maneno aliyoyasema ni kpmo tosha kwamba huyo mtoto ameonja ukali wa maisha kwa sasa na anataka kumwambia ****** kwamba awe imara na thabiti ktk kutawala Tanzania. The picture doesnt mean dat dog anayaweza madaraka ya urais.
 
dogo kama amechoka kuishi akayaseme haya mbele ya m7 ndio atajua cha moto rais wa tz
anashikwa macho mpaka na vipofu hii hatari?
 
The message that is being sent by that poster is that Kikwete has failed miserably to lead this country, to the extent that even a twelve year old boy could do better than him!!
 
Anampa changamoto mkuu aone kwamba watu wake wamechoka na wamepigika sana..mtu mwenye akili nyepesi atamkebehi huyu kijana lakini maneno yake ni mazito sana..kwamba angalau huyu jamaa anaweza kuwa serious kweli?!! aongee hata dk 10 tu kitu serious asicheke inawezekana?!!!!
 
Nadhani ukiingia kwa undani zaidi huyu mtoto ana maana fulani ichimbe utaona wala si kejeli ni ukweli!
 
Anamuonea huruma, nchi inamuelemea mno!
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    72.6 KB · Views: 24
Back
Top Bottom