Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 316
- 889
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)
Mama Samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na msiba wa kiongozi akiwa madarakani hivyo katiba ikamtaka mkamo wa rais kushika nchi kwa kipindi cha mpito mpaka uchaguzi mkuu mwingine utakapo fanyika. Sio takwa la kikatiba kwamba rais wa mpito ahudumu kwa vipindi viwili vya uongozi (hao wanaomdaganya rais kwamba itachapishiwa fomu moja kwa ajili yake nadhani ni uchawa na kutetea matumbo yao).
2025 mchakato wa kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM utafanyika kama kawaida na mtetezi wa watanzania hasa watanganyika atakuwa na nafasi kubwa ya kupitishwa na kamati kuu.
Hapa ndipo wazalendo wa kweli hasa Luhanga Mpina atapitia na kushangaza wengi kwa sababu watu wanataka kuona Tanganyika become great again huku mafisadi na wezi wa mali za taifa wakiwajibishwa perpendicularly.