Does age matters in relationships/love/marriage?

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
naomba kujuzwa kama umri au age different ni kigezo muhimu katika maisha ya mahusiano au ndoa and if age matters ni miaka mingapi actually mwanaume na mwanamke wanatakiwa kupishana? what about the same age? others says age is just a number
 
Nakubaliana kabisa na msemo unao sema age is just a number.
 
Nakubaliana kabisa na msemo unao sema age is just a number.

yes they say but on the other side age matters, huwezi ukasema binti wa miaka 25 ameolewa na zee la miaka 60, does it make sense, huyo mzee atakua na uwezo wa kumsatsfy huyo binti? probably atakua anasaidiwa na vijana ambao damu inachemka
 
Inategemea mana babu mpaa ana miaka 120 alikuwa ana tafuta mke wakuoa.

Afu mimi nimeona hasa kwa macho yangu mke wa kijana mdogo anafyekwa na mwanaume ana umri zaidi ya miaka 60.

Yani yule mwanamke mme wake akienda kazini anafata mzega zega kwa yule babu.
 
it matters. Mwanamke in ur 40s uolewe na mvulana wa in his 20s, kuna kuelewana hapo?
 
yes they say but on the other side age matters, huwezi ukasema binti wa miaka 25 ameolewa na zee la miaka 60, does it make sense, huyo mzee atakua na uwezo wa kumsatsfy huyo binti? probably atakua anasaidiwa na vijana ambao damu inachemka

Siku hizi kuna vyombo vya kutumia kama vibrator na pia mikono yaweza tumika...si lazima kiungo cha mwanaume kifanye kazi.
 
Siku hizi kuna vyombo vya kutumia kama vibrator na pia mikono yaweza tumika...si lazima kiungo cha mwanaume kifanye kazi.
Sasa kuna haja tena ya kuolewa kama uume bandia pia wawaridhisha zaidi???
 
Binadamu kama mnyama kuna insticts za kinyama unapochagua partner. Kujamiiana ni tendo la kushiria propagation na survival of a species. Sasa ili MAN wapate kusurvive lazima kuweke copulation kwa opposit sexes. Hizi Vibrators zikiendelea kutumika in a while MAN wataondoka kutoka kuwa No. 1 at the top of the food chain. Stop using them and keep up with the opposit sexes.
 
naomba kujuzwa kama umri au age different ni kigezo muhimu katika maisha ya mahusiano au ndoa and if age matters ni miaka mingapi actually mwanaume na mwanamke wanatakiwa kupishana? what about the same age? others says age is just a number[/QUOTE

if age is just a number then all numbers Are same arent they
 
Nadhani wana JF kwa hili hamjamjibu jamaa swali! kwangu mie umri unaotakiwa kuwa tofauti baina ya mume na mke ni kuanzia miaka 0-3. Tofauti isizidi hapo. Wataalamu wanasema, tofauti ya umri unavyokuwa ndogo baina ya couples ndivyo uimara na ubora wa ndoa unavyoongezeka. Lakini pia kumbuka kuna kuzeeka, kama unamwoa unayemzidi umri wewe mwanamke au mwanaume ujue mmoja wenu atazeeka na kumwacha mwingine bado anademand kitu.. katika life sasa hapo ndo kunakuwepo na tatizo. inashauriwa kuwa bora mzeeke wote mtajua namna ya kutunzana na uzee wenu badala mmoja kuanza kuhisi kuwa mwenzie ni mzigo kwake.

Nakupa mfano wa halisi niliouona kwngu mie. mimi nilioa katika age 26 na mke wangu 27, hadi leo tunaishi bila matatizo yoyote. kunapokuwepo na tofauti ya mawazo mnaanza kuelimishana polepole hadi mnaelewana. lakini kama age difference ni kubwa, unaweza mdhania mwenzio anafanya hayo kwakuwa yeye ni mtoto na hivyo kuleta dharau na kutokuelewana katika familia au ndoa yenu.

Mfano mwingine, Babu yangu mie alioa wake 3 wenye umri tofautitofauti. Wakati akiwa bado ananguvu ya utafutaji, alikuwa na mapenzi na mke mdogo kuliko 1 na 2. Alivozeeka, mdogo wala hakumjali na ilibidi arejeshe "majeshi" kwa bi Mkubwa na wakati mwingine kwa wa 2. Alitunzwa vizuri sana na mke mkubwa hadi alipo fariki. So, you can think from the 2 examples.

But what i want to tell you which is the most important in marriage is LOVE and not AGE. age, is a variable that also plays its role in marriage but not as important as to LOVE. kama unampenda mkeo na mna umri sawa au unaolingana, huyo ndo wa kuoa provided that you both LOVE each other.

Jamii au tamaduni zinaweza kuanza kukusumbua kuwa watu watanielewaje?Kama mke wako ni wa JAMII na siyo mkeo basi usimuoe. Kama ni mke wako, oa huyo mke. Utamaduni usikufunge katika kufanya maamuzi. kumbuka tamaduni zinabadilika na siyo static na zinabadilika kulingana na wakati, teknolojia, miingiliano ya watu na mengineyo mengi. usifanye kitu kwakuwa Babu yako naye alikuwa akifanya hivyo au kwakuwa jirani yako anafanya hivyo.

Mwisho wa siku, MWENYE MAAMUZI ni wewe bi-NAFSI.

Kwaheri kwa sasa.
 
Binadamu kama mnyama kuna insticts za kinyama unapochagua partner. Kujamiiana ni tendo la kushiria propagation na survival of a species. Sasa ili MAN wapate kusurvive lazima kuweke copulation kwa opposit sexes. Hizi Vibrators zikiendelea kutumika in a while MAN wataondoka kutoka kuwa No. 1 at the top of the food chain. Stop using them and keep up with the opposit sexes.

I hear you Dr....lol
 
Labda nimuombe Mzee Nyani atunong'oneze age yake na kisha atunong'oneze ameshawahi tafuta kabinti kenye umri gani hapa Jf ? Au out of Jf !
 
age inamatter sana tuuu.........we aje kababu cha maika 90 na wewe una maika 25,kinakwambia kinataka kukuoa utakubali??????au mwanamke mwenye 50 anakutaka wew HB miaka 25,uatakubali???au ndo mambo ya kumkubali kwasbb ana pesa lakini no love
 
naomba kujuzwa kama umri au age different ni kigezo muhimu katika maisha ya mahusiano au ndoa and if age matters ni miaka mingapi actually mwanaume na mwanamke wanatakiwa kupishana? what about the same age? others says age is just a number[/QUOTE

if age is just a number then all numbers Are same arent they

not real
 
Back
Top Bottom