Wachawi ndiyo wameturoga. Kama watu wanatafuta uongozi kwa kuroga mlitarajia mbaki salama au huwa mnadhani yale ni maigizo?Sijui kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lakini nakumbuka kuna siku Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame alipata kutamka,
"Kama Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar es Salaam, huduma zote Rwanda ingekuwa bure!"
Wenzetu wanatuonea wivu tuna kila kitu kizuri chenye thamani lakini wenyewe hatuoni kama tuna chochote kitu! Kana kwamba hatuna akili wala uwezo wa kuviendesha, tunaalika wenye akili waje kuviendesha!
Hivi ni nani aliyeturoga?
Hivi ni kweli Tanzania hii yenye mamilioni ya watu hakuna aliye mzima wa akili?
Wakati viongozi wa mataifa ya wenzetu wanaiba mali toka mataifa mengine kwa ajili ya kuendeleza mataifa yao, maviongozi yetu yanatuibia mali zetu kwa ajili ya mataifa ya wenzetu!
Unakuta jitu zima lililosomeshwa kwa fedha zetu linakwapua mabilioni ya pesa nchini na kuzihifadhi kwenye ma"bank" ya nchi za nje bila kujua kwamba huo ni mtaji mkubwa kwao! Watakopesha watu wao na kujenga nchi zao! Halafu tukitukanwa sisi ni manyani, tunakuwa wakali!! Huu ni ujuha uliopita kikomo! Tunahitaji kukua na kujitambua!
Mtanisamehe sana kwa kuongea haya lakini yanatuumiza wananchi!
Kwahiyo Zitto pia ni "kijakazi wa Sultani" mbona kauchambua mkataba vizuri sana jana Mwanza?Vijakazi wa sultani wana pendekeza undugu
Huyo alietamka hayo maneno akawakaribisha Dp World wahudumie Bandari yake.Sijui kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lakini nakumbuka kuna siku Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame alipata kutamka,
"Kama Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar es Salaam, huduma zote Rwanda ingekuwa bure!"
Wenzetu wanatuonea wivu tuna kila kitu kizuri chenye thamani lakini wenyewe hatuoni kama tuna chochote kitu! Kana kwamba hatuna akili wala uwezo wa kuviendesha, tunaalika wenye akili waje kuviendesha!
Hivi ni nani aliyeturoga?
Hivi ni kweli Tanzania hii yenye mamilioni ya watu hakuna aliye mzima wa akili?
Wakati viongozi wa mataifa ya wenzetu wanaiba mali toka mataifa mengine kwa ajili ya kuendeleza mataifa yao, maviongozi yetu yanatuibia mali zetu kwa ajili ya mataifa ya wenzetu!
Unakuta jitu zima lililosomeshwa kwa fedha zetu linakwapua mabilioni ya pesa nchini na kuzihifadhi kwenye ma"bank" ya nchi za nje bila kujua kwamba huo ni mtaji mkubwa kwao! Watakopesha watu wao na kujenga nchi zao! Halafu tukitukanwa sisi ni manyani, tunakuwa wakali!! Huu ni ujuha uliopita kikomo! Tunahitaji kukua na kujitambua!
Mtanisamehe sana kwa kuongea haya lakini yanatuumiza wananchi!
PumbavuTupate tena dikteta kama Magu, hamna namna
Huyo mungu wako bora kafa, Ingekuwa hata Ikulu iuzwe kwa sababu za kuondoa ile kadhia mimi ningekuwa tayariAliyekua na ndoto hizo hayupo na mlimteketeza sasa huyu anae upiga mwingi mwachen aupige mwingi mpaka umwagike, mbwa koko nyie