DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

Naibi Spika ndio analimaliza bunge letu,siku ambayo hayupo bunge linaendeshwa vzuri bila mikwaruzano ya aina yoyote na kila hoja inapitiwa na kutetewa kisawasawa.
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu yaani hata halina mvuto hata kidogo watu hata hatujui nini kinaendalea zaidi ya kusikia wabunge wa upinzani wanavyo banwa na kunyimwa nafasi ya kusikilizwa. Bunge la makinda nafikiri lilikuwa bora zaidi ya hili.
Yaani wabunge wanashindwa kuwa na umoja katika mambo ya kuishauri serikali.
Wenzao wanachukuliwa bungeni na polisi wao wanashangilia hii ni mbaya sana
Wabunge wenzao wako mahabusu kwa makosa madogo madogo wao hata hawajawahi kutoa tamko la kulaani jambo hilo
hii mbaya sana
Sasa wataishauri serikali vipi kama wao kazi ni kupigana vijembe ndani ya bunge

Koma mdomo wangu usijeitwa kwa UCHOCHEZI
 
Wapi Zito wa kigoma Kaskazini, leo naye hana hoja! Bunge shenzi zake.
Ngoja watu wauze madawa, wakahonge waingie Bungeni kutetea madawa na kuazimia kung'oa wanaharakati wa madawa hayo
Aongee aitwe mchochezi
 
RC Makonda aende kuitikia wito, asomewe mashtaka dhidi yake, akiri na aombe msamaha ili kuepusha mgongano wa mihimili yetu mitatu yaani Bunge, Mahakama na Rais pamoja na serikali yake. Baada ya hapo aendelee na kazi yake ya kutokomeza madawa ya kulevya!
 
Huwezi kuwa waziri bila kuwa mbunge sasa kama Makonda amethubutu kuwadharau wabunge it means amewadharau mawaziri wote wa jamhuri pamoja na waziri mkuu,spika wa bunge na naibu spika maana hawa wote ni wabunge hii ni dharau kubwa sana kwa mabosi wake,ninachomshauri brother makonda aombe radhi maana ulimi hauna mfupa
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu yaani hata halina mvuto hata kidogo watu hata hatujui nini kinaendalea zaidi ya kusikia wabunge wa upinzani wanavyo banwa na kunyimwa nafasi ya kusikilizwa. Bunge la makinda nafikiri lilikuwa bora zaidi ya hili.
Yaani wabunge wanashindwa kuwa na umoja katika mambo ya kuishauri serikali.
Wenzao wanachukuliwa bungeni na polisi wao wanashangilia hii ni mbaya sana
Wabunge wenzao wako mahabusu kwa makosa madogo madogo wao hata hawajawahi kutoa tamko la kulaani jambo hilo
hii mbaya sana
Sasa wataishauri serikali vipi kama wao kazi ni kupigana vijembe ndani ya bunge

Koma mdomo wangu usijeitwa kwa UCHOCHEZI
Kuna haja ya sheria kufafanua nini maana ya uchochezi
 
Kumejitokeza mpambano wa wazi baada ya Azimio la pamoja la Bunge kumwita Makonda kujieleza juu ya kashfa yake kwa mhimili huo na kutenda kazi nje ya kanuni.
Ni wazi kabisa watamuona na hatia na itashauriwa aadhibiwe.
Kwa kauli za Rais kuwa ananuunga mkono Makonda naye atakataa kumuadhibu.
Nini kitafanywa na Bunge? Bunge laweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri mkuu na ni obvious kura hiyo itapita na itambidi Rais amtengue na kuunda upya baraza lake. Jee Rais atakubali hali ifikie huko kwa ajili ya Makonda? Hata kama hapendi ushauri jee hao washauri wake hili watalivumilia?
Huu ni mpambano mkali wa mihimili hii mikuu nani ataibuka mshindi?
 
dogo kapesa kazi kubwa kuliko yeye mwenyewe, inamshinda. sawa na kumpa mtoto wa darasa la saba AK 47 na kumuweka front vitani. atapundua kila kitu mbele yake bila busara, yeye anaamini yupo vitani kumbe anawafaidisha adui kwa kufichua mbinu zake na adui kukimbia au kujiandaa vizuri kumuattack.
 
Makonda ana bosi mmoja tu, JP-Magufuli

Hao wengine hawana uwezo wa kumfanya chochote maana wote ni wateule wa rais
 
Back
Top Bottom