Do you think white people are more beautiful?

Mfupa

Member
Nov 11, 2011
37
3
I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?
 
I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?

White you mean mzungu or maji ya kunde mixed with carolight from our dadaz?
 
I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?

unaona watu weupe kwenye media kwa kuwa dunia hii ya leo imejaa ubaguzi wa rangi na mtu ambaye anaupromote ni white man kuonyesha katika media na kila siku unaonyeshwa watu wazuri wazungu.

Ebu soma haya maandishi hao ni wagiriki ambao hawakujua ubaguzi wa rangi walisemaje kuhusu watu wenye sura nzuri na kuvutia kutoka ndani ya mioyo yao sio wazungu wa leo ambao kwa kutojiamini wamejihalalishia kwamba white race is the beautiful one
herodotus.PNG
 
Does something like "white people" exist? Hii kali, Nampenda cheusi mangala
 
hakuna rangi nzuri(watu beautiful) kama weusi,sisi tukienda beach hatuaji kupaka mafuta ya jua ila mzungu asipopaka kinanuka na pia ngozi yetu ni strong kuliko ya wazungu
 
Their skin look like frozen mutton i hate the sight of them n they have a permanent bad smelling odour
 
All i know is black beauty but white beauty hata haitamkiki vizuri jamani
 
Hapa wote tutatetea rangi nyeusi, ila wengi wetu, tumekaa kwenye keybord baada ya kupaka mikorogo na micarolight... wengine mmeshatoa pesa kwa michepuo ikanunue mikorogo...
Anyway... rangi halisi ya mtu ndio inayotambulisha 'ubeauty' wa mtu hasa wanawake.
 
rangi nyeusi ni attractive kuliko white hata akitembea half naked tofauti na black sema wa Africa wamekuwa brain washed kuwa mweusi hana mvuto ndo mana ma mikorogo yamezidi na kuwasababishia kansa
 
rangi nyeusi ni attractive kuliko white hata akitembea half naked tofauti na black sema wa Africa wamekuwa brain washed kuwa mweusi hana mvuto ndo mana ma mikorogo yamezidi na kuwasababishia kansa
Ukiona mgongo kwa kuja chini au ukiona paja kwa kweli akili yote inaruka, tofauti na weupe(wadhungu) hata wavae zile za kuogelea unamuona wa kawaida sana hawavutii hadi muwe faragha
 
...sijaelewa una maana gani "white people" fafanua nitiririke yangu ya moyoni...
 
Ukiona mgongo kwa kuja chini au ukiona paja kwa kweli akili yote inaruka, tofauti na weupe(wadhungu) hata wavae zile za kuogelea unamuona wa kawaida sana hawavutii hadi muwe faragha

hiyo ni kwel halafu kwenye yale mambo naskia no taste at all
 
Ukiona mgongo kwa kuja chini au ukiona paja kwa kweli akili yote inaruka, tofauti na weupe(wadhungu) hata wavae zile za kuogelea unamuona wa kawaida sana hawavutii hadi muwe faragha

Si kwa sababu paja jeupe :D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom