Do you think white people are more beautiful?

I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?

They are not beautiful, they are smart. But Sometimes smart woman look like beatiful one to me.
 
Hapa wote tutatetea rangi nyeusi, ila wengi wetu, tumekaa kwenye keybord baada ya kupaka mikorogo na micarolight... wengine mmeshatoa pesa kwa michepuo ikanunue mikorogo...
Anyway... rangi halisi ya mtu ndio inayotambulisha 'ubeauty' wa mtu hasa wanawake.

Thanks,my sister Nameless Girl umesema kweli.
 
Hapa wote tutatetea rangi nyeusi, ila wengi wetu, tumekaa kwenye keybord baada ya kupaka mikorogo na micarolight... wengine mmeshatoa pesa kwa michepuo ikanunue mikorogo...
Anyway... rangi halisi ya mtu ndio inayotambulisha 'ubeauty' wa mtu hasa wanawake.

Umemalza kila kitu!
 
Wadada weupe wazuri sana aisee!! Mie ni msukuma mweusi nimevuta toto la kinyaturu jeupe pee! Huku kwetu shinyanga vijijini ni ufahari kuwa na mke white!!
 
nyeusi ni attractive kuliko white hata akitembea half naked tofauti na black sema wa Africa wamekuwa brain washed kuwa mweusi hana mvuto ndo mana ma mikorogo yamezidi na kuwasababishia kansa

rangi yoyote ni super tu kwakweli( kati ya hizo tajwa) muhimu isiwe ya kichina
 
FLORA%2BIN%2BBONGO%2B4%253B12%253B2012-13%2B071.JPG
weka za wale wenye mwonekano mzuri ili watu wajenge hoja vizuri
 
Ok nitajibu kama swali lilivouliza, bila kuwa bias kwa upande wowte, kwanza kwa yule alosema anaona wengi wao kwenye media wazuri ni whites, ukweli ni kwamba tv na pics zinakuwa edited na make up, yote unayoyaona almost 80% ni fakery, ukiwaona bila make ups ni normal people na wengine ni wabaya , ila wao wana feauture fulani ambazo wameziweka kuwa ni dalili ya uzuri na wakaziimplant hizo fikra kwa wale wasiokuwa nazo ie coloured people, ila kwa kweli ukiangalia huku blacks wengi hawana exposure sana, having said so ina maana kwamba kuna black wazuri naturally wengi tu n that is why wao wanaamua kuja kuwatafuta mamodel huku pia, if we had same exposure basi hili swali zuri ulouliza lisingekuwepo, so hii ni kasumbe walioileta watu weupe kwa vile wao ndio waliwahi kutawala wenzao. Aksante
 
tunajidanganya. Ukweli wanawake wanapenda weupe na wanaume wanapenda weupe. Kama unabisha fanya uchunguzi mdogo mahala unapoishi. Wanawake wenye kujichubua wangapi.
Wanaume wanashobokea sana wanawake weupe
 
Hapa wote tutatetea rangi nyeusi, ila wengi wetu, tumekaa kwenye keybord baada ya kupaka mikorogo na micarolight... wengine mmeshatoa pesa kwa michepuo ikanunue mikorogo...
Anyway... rangi halisi ya mtu ndio inayotambulisha 'ubeauty' wa mtu hasa wanawake.

Mii no ridi zisi bikozi yu no raiti Inglishi kama ze sredi stata ..... Raiti in inglishi
 
Je tukipewa nafasi ya kumchagulia rangi mtoto aliye tumboni azaliwe akiwa na rangi gani,tutachugua black kweli???? Au tanjifariji tu, maana hadi leo sjaskia wazungu wakitumia madawa ya kupunguza weupe na kuongeza weusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom