Ronn M
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 1,279
- 683
- Thread starter
- #81
Wewe unajua mantiki ya ndoa kurasimishwa kwa ngono?
Ndoa imekuwa ni taasisi nyeti kwa madhehebu ya dini na kwa serikali za nchi. Kwa pande zote ndoa ni taasisi inayopelekea kuundwa kwa familia ambazo ni kitovu cha kukua kwa nchi. Haya yatawezekana kama wawili hawa wakioana watazaliana, jambo ambalo hufanywa kwa tendo la ndoa. Sasa ikiwa lengo kuu la ndoa hii linakutana na vikwazo ndoa hiyo inakuwa na walakini. Hivyo sheria za dini na nchi zinataka walau watu hawa mara baada ya kufunga ndoa waweze kuprove kuwa wawaweza kutimiza lengo la ndoa!