Do you know what is consummation?

Sasa watu wameona na wana mtoto applicability yake iko wapi iyo consummation?

Mimi ningependa sana kujua mahakama inathibitishaje kuwa tendo la kuirasimisha ndoa halijafanyika. Ni kwamba wanaliamini mazima mazima neno la mlalamikaji ama?
 
If a woman is a virgin one, and you fail to insert due to that, that does not amount to failure to consummate. But if she cant be consummated because of biological problems that requires major operation, then the marriage may be avoided on ground of failure to consummate
Hii ni Laws of marriage au umeitunga ww mkuu?
 
The law is an ass.

Na je kama mke hampendi jamaa na akaenda kushtaki kuwa mume hajampa haki yake ya ndoa
Au akimfanyia vituko jamaa akashindwa kuconsummate marriage yake mahakama itathibitisha vipi kwamba huyu jamaa hajatoa haki yake

Ila naamini hapa pia ni lazima uthibitisho wa Daktari kuwa jamaa hawezi kazi may be ndo unasaidia
 
How does the court prove non-consummation in a marriage?

Nyani Ngabu, I suppose the non-consummation would be caused by man and a proof done by the medical doctors incase of being impotent. But the best way ni kujaribu kwa faragha na watu wachache watazamaji kama biashara inafanyika au la!
 
Last edited by a moderator:
Wajamen kinachoongewa ni consummation ya NDOA. Kama kabla ya kufunga ndoa walishafanya tendo mara nyingi tendo hilo lilikuwa nje ya ndoa kumbe si consummation.
 
Haya mambo magumu.
Kuna watu ambao hawaku consummate ndoa yao for 3 months. Ishu jamaa alisema amechoka eti na pilika za harusi.

Na siku moja ilipotokelezeya, ikawa kama mzaha tu maana 'shost ya mbunye' akawa mlegevu.. kabisa.

na hadi leo ndoa ina miaka 10. Bila ya!

so hapo sijui pana ndoa ama?
 
Na je kama mke hampendi jamaa na akaenda kushtaki kuwa mume hajampa haki yake ya ndoa
Au akimfanyia vituko jamaa akashindwa kuconsummate marriage yake mahakama itathibitisha vipi kwamba huyu jamaa hajatoa haki yake

Ila naamini hapa pia ni lazima uthibitisho wa Daktari kuwa jamaa hawezi kazi may be ndo unasaidia

Daktari akisema dhakari ya jamaa inafanya kazi kama kawaida (kwanza sijui hata daktari atathibitishaje hili - ina maana ataichezea dhakari ya jamaa aone kama inawika au? lol)....mahakama itaamuaje sasa?

I still maintain that that law is an ass. Manake inaweza kabisa ikawa ni hila tu za mwanamke kutaka kutoka kwenye ndoa, kwa mfano, ambazo zitamfanya amzushie mwenzake.

Talk about a monumental invasion of privacy....
 
Nyani Ngabu, I suppose the non-consummation would be caused by man and a proof done by the medical doctors incase of being impotent. But the best way ni kujaribu kwa faragha na watu wachache watazamaji kama biashara inafanyika au la!

Lakini pia mtu unaweza ukawa uko sawa kabisa lakini usii-consummate hiyo ndoa. Sasa hapo inakuwaje?
 
NN umenchekesha ulipojiuliza na kujijibu!
Re: Na je kama mke hampendi jamaa na akaenda kushtaki kuwa mume hajampa haki yake ya ndoa
Au akimfanyia vituko jamaa akashindwa kuconsummate marriage yake mahakama itathibitisha vipi kwamba huyu jamaa hajatoa haki yake

Ila naamini hapa pia ni lazima uthibitisho wa Daktari kuwa jamaa hawezi kazi may be ndo unasaidia'

Na uliposema eti pawe na watazamaji wachache!

Yaani . nyie acheni tu yakikusibu ndio utajipima kama kweli utakuwa na nguvu hata za kusimulia.

Maana eti haya ndo yaanambiwagwa kwenye 'vichenparrri' kuwa ni mambo ya ndani. Sasa likikusibu kama hili, sijui ni mpaka upi wa mambo ya ndani ya ndoa ambayo hayapaswi kusemwa nje, na je 'nje' ni nani? does it include wachungaji?

maana wachungaji wetu nao wengine wambea kama nini. Unamwambia yeye, naye anaenda mwambia mkewe, mkewe naye anamwambia shosti yake wa kanisani na mtaani na wanae. Kutahamaki, umegeuka kichekesho cha kanisa na mtaa!
 
Wewe ni lawyer? Hicho Kiingereza chako vipi hapo....mbona hakijanyooka?

Forget about english. Do you get the concept? About avoided that's correct word. A marriage can be void or voidable. If its voidable, a party may wish to either continue with it or bring it to an end. Should he choose the second alternative, he has avoided the marriage
 
Mkuu hapo kwenye bold, kuna kesi yeyote ambayo ilishatokea ya couples kuishi pamoja na kuwa na mtoto halafu baada ya ndoa kukawa hakuna consummation?! Hapa najiuliza mtu anawezaje kuishi kinyumba na mwanamke na pengine hata kuzaa naye bila ya hiyo consummation! Najaribu positively kuielewa sheria hii ya ndoa na uhalisia wa maisha ya sasa ya wapenzi kabla ya ndoa na si vingenevyo. Thanks.

In currently using my cheap mobile phone. Please allow me to upload some few cases in a very summary form later on which might assist understanding of the concept! Perhaps it may cover your concern. I have none in mind
 
Ukitumia viungo vingine vya mwili kutimiza malengo hayo hayo inakuwaje?

Insertion = Pennis in a vagina. If u use a toy, your finger, or your long tongue(if u have one) its not consummation
 
Forget about english. Do you get the concept? About avoided that's correct word. A marriage can be void or voidable. If its voidable, a party may wish to either continue with it or bring it to an end. Should he choose the second alternative, he has avoided the marriage

I get the concept but the whole thing is silly and it is the quintessence of stupid laws.
 
Precisely NN. Have I said they have one and the same meaning?
 
i was a matron just two weeks ago! after church service tulikwenda ukumbini straight then, mashemeji na wakwe wakasugest tukacheze mziki, so straight to disco na bibi harusi! hakukuwa na muda wa kwenda rum na mumewe hata sekunde, so by the time tunatoka club was in the morning kabisa around 4, hence no consummation. what about this kuna ndoa hapo, au ndio itakuwa mikosi?
 
I don't think that 'stupid law' says that the marriage has to be consummated right away...but I could be wrong.
 
I get the concept but the whole thing is silly and it is the quintessence of stupid laws.

To understand how the law operates we must go back to history and the purpose which such law intended to achieve. Now, given the current settings the concept might be seen silly and stupid. There are some traditions where after a marriage has been concluded by the minister (religious) a man might have to wait at least one week to have his wife. Thats notwithstanding, the couple will remain married. The effect is not to allow any subsequent marriage as between parties save where it was polygamous one. Now suppose the man becomes importent before entering her. Can she say to have been legally married. Yes, she can if she chooses. But she can avoid that marriage on ground of non consummation. That will render the marriage void (as if she has never been married) and can therefore get married to another man. Sorry for long explanation
 
Mkuu hapo ni pagumu mno
Siju hata huyo Doc atathibitishaje kuwa dhakari ya jamaa inafanya kazi
Na kuwaambia watu wafanye mapenzi mbele ya wengine ni kuingilia privacy ya watu
Na swali langu ni pale ambapo mke ni mjamzito na anakaribia kujifungua kabisa na hakuna consummation iliyofanyika baada ya harusi bado hiyo sio ndoa
 
Back
Top Bottom