Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,985
- 12,707
..Mjengwa ameandika sehemu ya pili ya kisa hiki.
..kwa kweli inasikitisha, lakini zaidi inatisha.
Inapatikana wapi hiyo sehemu ya pili ya kisa hiki?
..Mjengwa ameandika sehemu ya pili ya kisa hiki.
..kwa kweli inasikitisha, lakini zaidi inatisha.
Kleruu alikasirika kwa sababu Mwamwindi alikuwa anafanya kazi siku ya Christmas. Huyu Kleruu alikuwa mdini.
Inapatikana wapi hiyo sehemu ya pili ya kisa hiki?
miaka hiyo phd? huyomzee kleruu alikuwa noma sanaMzee Amani amesimulia vizuri hadithi ya kifo cha Dr.Wilbert Kleruu (Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa) kwa kupigwa risasi mbili na Baba yake mzazi mzee Said Mwamwindi,hadithi hii tumewahi kuisikia kwenye version nyingi tofauti,lakini mahojiano ya Bwana Mjengwa yametoa picha nzuri na kupunguza maswali mengi,Swala la msingi ambalo Mzee Amani hakulizungumzia ni kwamba Mzee Kleruu alifanya nini alimpomsikia Mzee Mwamwindi anamuagiza mkewe akalete bunduki? hakuhisi kuwa anataka kuuliwa? alikuwa na bastola kiunoni hakujaribu kujihami?Vinginevyo hadithi ni nzuri na ambayo imefungua Historia hiyo ya mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Msomi na kiongozi yule aliyeaminiwa sana na Mwalimu Nyerere.Dr Kleruu alikuwa na PHD ya kilimo aliyosomea United States na alizikwa kwao Kilimanjaro.
Huyu alitandikwa risasi na shujaa Saidi Mwamwindi, toa na sababu zilizompeleka kutandikwa risasi, alikuwa fedhuli na alilewa madaraka.
Kwa nini kusema kweli inakuwa ngumu kwako?
sasa kama unazijua sababu za kutandikwa risasi kwanini usiziseme!?Huyu alitandikwa risasi na shujaa Saidi Mwamwindi, toa na sababu zilizompeleka kutandikwa risasi, alikuwa fedhuli na alilewa madaraka.Kwa nini kusema kweli inakuwa ngumu kwako?
dr kleruu kiukweli mi sina shida na maandiko ya juha kama huyu, na bora aliuwawa maana alikuwa dikteta haswa, viva mwamwindi.
Kweli nduguHuyu jamaa hakua kichaa ,huyu alikua mzima kabisa na binadamu mwenye akili timamu ndivyo anavyopaswa kubehave.
Vichaa ni kizazi hiki chetu maana MAFISADI tunayasema hapa sana kwenye screen lakini ukikutana naye live TUNACHEKA kicheko kwa kuonyesha meno yote hahahahahahahahaha Mheshimiwa .
sasa kama unazijua sababu za kutandikwa risasi kwanini usiziseme!?
Naomba kuweka swali lanyongeza hii inayoitwa Historia ya Tanzania imeanza lini Rasmi naoma kuelimishwa na kabla ya hapo ni kipi tunaweza kukiongelea naomba mchango utakao elimisha wengine kama mie ambao tumekuwa katika mashaka na historia yetu kwani miaka siomingi tangia kuzaliwa kwa Tanzania sasa kabla ya hapo nini kilikuwa