Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

This is piracy.........

However, it was interesting reading it. we have heard a lot about it, juu juu, but leo nimeipata (japo kiduchu).

Maggid, naomba link ya rai mwema niisiome kwa undani kamili.
 
Lakini, kutokana na maelezo huyu ndugu hakuwepo shambani, aliyekuwepo ni Mdogo wake mohamed, na aliachwa akilima shambani na treckta, sasa, haya maelezo ya njiani kuelekea hnyumbani aliyapata wapi?

Hii habari mimi nilisikia kulikua na swala la mahusiano ya kimapenzi kati ya....... na......

kama maelezo hayo yatakuwa ni ya kweli, basi lazima yalitoka kwa mwamwindi aliyenyongwa, kumbuka baada ya kuua aliendelea kuishi na kesi yake ilisikilizwa kwa hiyo inawezekana alitoa maelezo hayo sio mahakamani tu pia hata polisi alipoenda kukabidhi mwili wa marehemu kleruu.
 
muuuuuuuuuh muuaji angekuwepo leo, hakika angemuua afisa elimun wa mkoa wa mbeya bwana JJK, MAANA NI MCHAFU KWA WAKE ZA WATU MIE SIJAONA
Khaaaaa jamaa wa watu yuko poa tu mbona? Au kwa sababu ni mfupi ndio maana unamsingizia?
 
kina mzee mwamwindi na wenzake walikua na hoja, kama suala ni kilimo tayari wao walikwishaonesha mfano, na spirit ya ujamaa tayari walikuwa wanaitekeleza kwa kuanzisha ushirika wao wakulima wakubwa wakubwa hapo ismani, na kwa msingi huo wangepaswa kuchukuliwa kama mfano wa kuigwa hapo iringa katika kutekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea. dr kreluu alipaswa kutumia busara vinginevyo inaonekana alikuwa na "allegedly personal issues" na mzee mwamwindi.
 
Wahehe hawajawasamehe Sapi na Mwakawago, mpaka leo kwa kushindwa ku-secure realese ya Mwamwindi from Prison mpaka kunyongwa, Ninaiamini version ya kwamba kulikuwa na personal ishus kati ya the two kuhusu women.

- HOWEVER: Eti Dr. Kleruu nini record ya Ushujaa wake kwa Taifa?
 
Nafikir Majid amefanya mahojiano na mtoto wa marehemu(jambo zuri sana)...lakn Aman kama mtoto wa marehemu kuna vitu anaweza kuviweka kooni kama heshma kwa Mzee...nlipata kukutana na Mzee Mwambugi(rafik mkubwa wa Mwamwindi)mkaz wa Nyang'oro...ni mzee sana,alinisimulia meng sana mana yeye ndo mtu wa tatu ktk wale "wanted"..kilichomsaidia yeye alikuwa na urafiki na Siyovelwa(aliyekuja kuwa mkuu wa Usalama wa Taifa?)...ninayo mahojiano yake ktk Audio
 
Mjengwa,

..unatakiwa uhoji na upande wa Kleruu pia.

..zaidi uende kwenye court transcripts kujua nini kilizungumzwa mahakamani.

..pia usikose kuweka HUKUMU ya kesi hiyo na kwanini Jaji alifikia uamuzi huo.

..labda ingesaidia kama ungewatafuta waendesha mashtaka wa serikali ili kuweza kupata upande wa pili wa tukio hilo.
 
Hata ivo tabia ya wazee wa kihehe kuwadabisha viongozi wa serikali haikukoma...Mzee Aloyce Kisonga(moja kat ya wazee maarufu Iringa) anaelezea kuna wakat kulikuwa na mkuu wa Mkoa Iringa akiitwa SHAMSHANA(?),ktk sherehe moja ya kitaifa alihmiza wahehe walime mazao ya biashara,badae akaja kuwatukana kuwa wanakazana na ya biashara badala ya chakula..hal inayopelekea njaa...wakat akiongea hayo ilikuwa Uwanja wa Samora,mara mzee from no where akapandsha jukwaan akamtandika makofi RC...eti kwa nini kawatukana mbele ya wake zao?wakat ndo alihmiza kilimo cha mazao ya biashara?...MHEHE ni mtu wa kisilan sana..wana hasira
 
Halafu wakikasirika huwa wana tendency ya kujiua.....hii inaanzia kwa mtemi wao mkwawa aliyejiua!
 
Lakini, kutokana na maelezo huyu ndugu hakuwepo shambani, aliyekuwepo ni Mdogo wake mohamed, na aliachwa akilima shambani na treckta, sasa, haya maelezo ya njiani kuelekea hnyumbani aliyapata wapi?

Hii habari mimi nilisikia kulikua na swala la mahusiano ya kimapenzi kati ya....... na......

Kwani huyo mzee Mwamindi alikufa hapo hapo baada ya kum-shoot Dokta?! Kwani hakupata nafasi ya kuongea na familia yake kabla hajanyongwa?!
 
Nafikir Majid amefanya mahojiano na mtoto wa marehemu(jambo zuri sana)...lakn Aman kama mtoto wa marehemu kuna vitu anaweza kuviweka kooni kama heshma kwa Mzee...nlipata kukutana na Mzee Mwambugi(rafik mkubwa wa Mwamwindi)mkaz wa Nyang'oro...ni mzee sana,alinisimulia meng sana mana yeye ndo mtu wa tatu ktk wale "wanted"..kilichomsaidia yeye alikuwa na urafiki na Siyovelwa(aliyekuja kuwa mkuu wa Usalama wa Taifa?)...ninayo mahojiano yake ktk Audio

Yaweke mkuu tuyasikie manake kwa mara kwanza nilisikia simulizi ya hili sakata nikiwa kwenye daladala kama miaka mitano hivi iliyopita!!!! Hata hivyo, msimuliaji inaelekea alikuwa ame-base sana na stori za vijiweni ingawaje hata hivyo zilinisismua kidpogo ingawaje sikuona kama ni issue kiasi hicho!
 
Mzee Amani amesimulia vizuri hadithi ya kifo cha Dr.Wilbert Kleruu (Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa) kwa kupigwa risasi mbili na Baba yake mzazi mzee Said Mwamwindi,hadithi hii tumewahi kuisikia kwenye version nyingi tofauti,lakini mahojiano ya Bwana Mjengwa yametoa picha nzuri na kupunguza maswali mengi,Swala la msingi ambalo Mzee Amani hakulizungumzia ni kwamba Mzee Kleruu alifanya nini alimpomsikia Mzee Mwamwindi anamuagiza mkewe akalete bunduki? hakuhisi kuwa anataka kuuliwa? alikuwa na bastola kiunoni hakujaribu kujihami?Vinginevyo hadithi ni nzuri na ambayo imefungua Historia hiyo ya mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Msomi na kiongozi yule aliyeaminiwa sana na Mwalimu Nyerere.Dr Kleruu alikuwa na PHD ya kilimo aliyosomea United States na alizikwa kwao Kilimanjaro.

Dah! Hilo ndo swali ambalo nilitaka kuuliza; kwamba ni Dokta wa heshima au ni PhD!!!! Yaani 1971 mtu ana PhD na kisha anapewa kazi ya Mkuu wa Mkoa?! Si tunalalamika kwamba nchi haikuwa na wasomi wa kutosha? So, how come kwa mtaalamu aliyekuwa anahitajika kama huyu akawe Mkuu wa Mkoa?! Na ndio maana hayo yalimkuta kwani akaamua kupeleka kiburi chake cha usomi kwa wanakijiji...!!!
 
Nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa hii simulizi toka kwa majid mjengwa blog lakini ilikatishwa na haikufikia tamati.na ifananisha na riwaya ya "ngoswe penzi kitovu cha uzembe"majid malizia hii simulizi!
 
Wahehe hawajawasamehe Sapi na Mwakawago, mpaka leo kwa kushindwa ku-secure realese ya Mwamwindi from Prison mpaka kunyongwa, Ninaiamini version ya kwamba kulikuwa na personal ishus kati ya the two kuhusu women.

- HOWEVER: Eti Dr. Kleruu nini record ya Ushujaa wake kwa Taifa?

Kutoa hitimisho la jumla jumla siyo vizuri ni wahehe wepi hao ambao hawajawasamehe akina Sapi na Mwakawago? Nimeishi Iringa mjini karibu miaka 8 lakini sikuwahi kusikia chuki wala ghadhabu kwa hao watu wawili. Bali waliendelea kuheshimiwa tu.
 
Back
Top Bottom