Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Namshukuru Mungu kwa sababu sijaangalia hiyo filamu, ivo sina chochote cha kuchangia hapa kama ina ubora au haina.
 
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
•Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
•Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.
Serengeti v/s bongo muvie..mama Simba nimempenda Binti Simba action zetu zimebobea katika mapenzi na uchawi tuu Bado tuna safari ndefu
 
Producer ana Emmy award,director ni nominee wa awards nyingi USA,kafanya royal tour na Poland,Mexico,Israel na rwanda ..leo waharibu franchise yao kwa Tanzania!!!?
Filamu zote za Hollywood na kwingineko kwenye maprodyuza wakubwa bado filamu zao zikifanyiwa editing'i ya kwanza huangaliwa na jopo la wachambuzi kabla ya kutoa filamu halisi, kwa kifupi kila sini huchambuliwa kwa upigaji (shot), mwanga, mavazi, sauti na mambo mengine, huku kwetu eti dairecta na prodyuza ndio mwanzo na mwisho eti hawawezi kukosolewa!
 
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
•Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
•Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.

Kwekwekwekwe kwakwakwa
IMG_0821.jpg

Ajira laki tatu
 
Bongo sinema wanaweza kuunda ndiyo ila connection ndiyo ilikuwa inatafutwa nadhani.

Kikubwa kaongea ukweli sinema ni mbaya ahahhaaaa, asubuli kuchapwa tu.
 
Mpeni hiyo 9 billion, afanye ya kwake then mlinganishe ubora, sio mnasema afanye yake huku umekunja sura na roho!
Tumpe kwani sisi tulioewa si tulushawishi watu? Na yeye ashawishi watu wake Ili atoe yake ndio aje kukosoa badala ya kupayuka na kuropoka hovyo.
 
Hoja hapa ni ubora wa Royal tour ya Tanzania. Hata vijana wa Tanzania wangetengeneza ya kiwango hiki. Bil 11 zimepigwa na mafisadi wa Makunduchi
Starling kwenye picha ni wa muhimu zaidi ku-draw attention ya kimataifa. Vijana wa Bongo Movie wangeweza kuonekana kama walikuwa wana-shoot picha za kawaida tu kwenye tour yao moja fulani hivi; hakuna mtu wa nje ambaye angeweza kuiangalia zaidi ya sisi wenyewe
 
Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.
Hii ni sawa kwenye mpira, unakuta Rais wa TFF anawaambia watu wasijifanye wajuzi wa vitu ila wanasahau ili uwe mpira lazima kuwe na mashabiki ambao kwa kiasi flani wanafahamu taratibu zake.

Hivyo hata kwenye movie, kitu kizuri kinatengenezwa kwa ajiri ya mshabiki hata kama hajui kushika camera lakini anaweza kung'amua hapa nimepigwa
 
Back
Top Bottom