Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Kuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematic
Hapa inatakiwa ubishe kwa facts sio kila kinachowekwa Hollywood ni bora kuliko vyote. Dokta anasema ubora wake sio mkubwa kulinganisha na ubora wa filamu zinginde za nyakati hizi. Mfano hata filamu za anold , Rambo na Van damme zilikuwa bora kwa wakati wake na zikaoneshwa Hollywood lakini ukiziangalia leo ni low quality
 
Dk. Kazungumza kiujumla sana! Ubora ktk eneo gani? Na akilinganisha na ubora upi uliojuu kwa hizo gharama. Pia, ni muhimu kuchambua aina za filamu.

Kwa mfano, ukiangalia ktk drama zipo za aina nyingi zenye maudhui, muundo, picha, wahusika na aina ya maneno tofauti tofauti; kama MELO- DRAMA ( za mapenzi kama ile ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe) huwezi kuilinganisha na HISTORICAL DRAMA (Kama Ya TheTrial of Dedan Kimath). Ukija kwa filamu ya The Royal Tour; location, wahusika,muundo na maudhui ni tofauti kabisa na zile filamu tulizozoea. Sasa mtu akisema ubora uko chini anamaanisha nini? Mchanganyiko wa rangi, maudhui, wahusika, picha au nini? #The Royal Tour itasaidia nchi tuache maneno mengi.🙏🙏🙏
 
... huyu Dr. Shule ana kauli tata sana. Chupuchupu aingie kwenye 18 za Jiwe enzi zile.
Wewe kumbe haumjuhi huyu dada,huyu haliwalipua Wahadhiri wa chuo hapo Mlimani kuwa kuna Wahadhiri wanaomba wasichana ngono kisa wanawapa Max za bure,akamwambi Jiwe hawasaidie maana hapa Mlimani kuna digrii za chupi, Magufuri alipoinuka akasema jambo hilo kamwachia mkuu wa chuo, badae mkuu wa chuo haliunda tume,sijajua tume ilitoa majibu gani,hajawahi kuwa na matatizo na Magufuri acha uongo
 
Hapo mlimani pana shida Nyingi basi....
Ikiwemo hii
Hawasaidie ❌
Awasaidie✅
Napendekeza tutatue hili kwanza, Hoja inapungua makali kama itaandikwa vibaya.
 
Back
Top Bottom