Elections 2010 Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Usalama waende mahakamani

Majidi Kikula alikuwa anafata nini NEC
mwambie huyo mkurugenzi Akanushe kama Majid kikula siyo Usalama wa Taifa. Na kama kuanzia jumapili, jumatatu hakuwa ofisi za NEC
Ushahidi tunao baba.. tutakupa kama ukihitaji.. Kwanza huyo ndo anahalibu hiyo taasis kwa kuwa kapewa hiyo nafasi na swahiba wake kama offer.
wakaachwa watu wenye shule ya kutosha na uwatendaji wazuri tu!! Nenda mahakama kupinga kuwa DR kasema huongo kama hujaumbuka,
 
Kama wewe ni mmoja wapo basi ndio mmeshachakachuliwa ajira zenu zimefutwa..
 
Napenda kujua hii mbinu ya Tech no hama inayotumika kuchakachua matokeo. JK inatakiwa ajue kuwa hata serikali yake imemchoka ndiyo maana Dr. Slaa anapewa siri za Ikulu.
 
Hawa usalama wa taifa ukiwa chunguza sana utawakuta wakwere kibao. Halafu nimeshtukia JK ana kaudini.
 
Kwani wangapi keshawambia waende mahakamani na Hawajaenda???? List of SHAME.....Nani alijitokeza?????? Na hata hao hawataenda...... By the way kwani si keshakataa matokeo????????????
 
katika histori ya taifa hili wale wote ambao slaa huwa anawataja sijawahipo kumuona hata mmoja akitinga mahakamani...............wanamuogopa,
 
MIMI KWA NIABA YA WAPENDA AMANI TUNOISHI HUKU BUSH NAOMBA DR SLAA ATOE USHAHIDI WAKE KWA KUANZIA JIMBO LAKE ATAGUNDUA WALIOMZUNGUKA NI HAO HAO WATU WAKE WALIOMUELEZA WAMECHUNGULIA CONTEINER LENYE KURA TAYARI AKAAMINI.
AANGALIE TENA JIMBO LA HAI NI Mbunge wamempa CHADEMA LKN RAIS WAMEMPA CCM KIKWETE, 35,910 CHADEMA DR 18,513 UKIENDA IRINGA MJINI amechukua UBUNGE CHADEMA lkn Urais wamempa JK 18,457 SLAA 14,864, KIGOMA KASKAZINI JK ailpata 30,370 DR SLAA 14,773 kwa hiyo ni kuridhika tu URAIS si kitu cha kukimbilia IKULU hakuna Biashara pale, Obama leo anakiona cha moto yote aliyoyafanya lawama Republic wamambana, kuondoa majeshi maboresho ya Afya. Sisi ni kelele tu cement itashushwa mpaka 5,000/= (hivi kuyabeba yale mawe kwenda kuyasaga pale Tanga ili upate cement ni bei gani? ndipo tena uusafirishe mfuko huohuo hadi Mwanza)
Jamani angalieni Wabunge wote lao ni moja huwezi ukaingia madarakani ukachota fungu kupeleka Jimbo la Segerea au Ilemela ni uongo mtupu baada ya miaka 5 patakuwa Moto vijana wadai kazi maisha bora, tena si mbali KAWE tu
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI JAKAYA KIKWETE sasa aondokane na uvumilivu,achape kazi na atakayeedeleza uongo uandiki ni kichapo tu sasa.
Rais akishaapishwa agenda inafungwa, ameruhusu Demokrasia sana, tofauti na kina - Mugabe na Viongozi wote wa Africa
 
Jamani where did I put my trash can?
 
Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.

Umenena sawa Silaa ya Wananchi. Wawahi mahakamani wao. Ila sisi tuchelee kukimbilia sana mahakamani kwani mahakama si ndiyo hizo za akina Jaji Makame na Jaji Tendwa? Mahakama yetu iwe kwa wananchi, na iendelee kuwa kwa wananchi hadi hukumu ya wananchi itakapotawala nchi.
 
Majidi Kikula alikuwa anafata nini NEC
mwambie huyo mkurugenzi Akanushe kama Majid kikula siyo Usalama wa Taifa. Na kama kuanzia jumapili, jumatatu hakuwa ofisi za NEC
Ushahidi tunao baba.. tutakupa kama ukihitaji.. Kwanza huyo ndo anahalibu hiyo taasis kwa kuwa kapewa hiyo nafasi na swahiba wake kama offer.
wakaachwa watu wenye shule ya kutosha na uwatendaji wazuri tu!! Nenda mahakama kupinga kuwa DR kasema huongo kama hujaumbuka,

Wananchi wako macho zaidi kuliko UWT wenyewe.

UWTwanachunga usalama kuhakikisha CCM inaiba bila kubughudhiwa.
Walikuwa part and parcel katika kuiba Fedha BOT, Wameendelea kuwa kiungo au kundi muhimu katika kuhakikisha Tanzania inaingia mikataba ya Kihuni na Kishenzi na wawekezaji.

Kwa mara nyingine tena Wamehakikisha wanaendeleza Ubia wao(fiendish blending) na CCM kuiba kura, HAKI YETU YA KUZALIWA, kwa kujibanza mataconi mwa NEC na kuhakikisha CCM inabaki madarakani Tena inaendelea kupata Ruzuku kubwa kwa uwingi wa KURA.

Sasa wameanikwa Kadamnasini upupu unawawasha makalioni.
Hawana uhakika kama Kuchema ni jambo sahihi au la, hata hivyo wameamua kuchema.

Kama kawa ya kila mlalamikaji wa tuhuma kutoka Chadema, UWT nao wataingia mitini.

Kuingia mitini ni sawa kabisa na kuwaambia waTanzania kwamba wao UWT ni washirika katika UTATU mtakataka. CCM ni baba, NEC ni Toto na UWT ni Roho mchafu.

Wakienda Mahakamni wamejichora Baba yao CCM nilazima awfanye Mbuzi wa Azazeli ile kafara ya dhambi za wote.

Nyuma kuchungu na mbele kuchungu na utajiri wanapenda.

Hivyo itabidi waendelea kubuyama huko mitini hivyo hivyo sasa watafanyeje?

Ukweli ni kwamba.
Wakiingia mitini watakuwa wamejipiga miti wenyewe mbele na nyuma.

Msimamo wangu/wetu
Haya ni mapambano yetu na tusingependa mtu aje kujipendekeza wala kujifanya mshauri. Sisi Watanzania wenyewe ndiyo tulio na jibu la mpambano huu. Hao EU na watu wengine wanakaribishwa kushuhudia lakini si kuingilia kutoa ushauri au kucheza. Vile vile hawawezi kuwa marefa.

Huu ni Mpambano kati ya HAKI na DHURMA,ni mpambano kati ya MWANGA NA GIZA. Sisi wa Nuruni, wenye haki, kamwe hatutakubali Giza,(Maharamia wa kuiba kura,CCM) litawale pia hatutakubali Dhurma itawale na hatutakubali kundi la watu wenye sera ya Dhurma watawale. Tutaendelea kupambana hata ikibidi maisha yetu yote, hatutaacha mpaka HAKI yetu irudishwe na aliye dhurumu apatilizwe kwa dhurma yake.
Hatutaacha kupambana mpaka Ibilisi wa mwisho apigishwe Goti kusalimu HAKI.
Hatuwezi kuacha kupambana na Hayawani atunyang'anyaye haki yetu ili ayababatize matakwa yetu na kumalizia Hamu yake chafu juu yetu.
Hatuwezi kuacha kupambana na Kahaba aliye mkuu wa Makahaba atumiaye Urithi wetu pekee kujipamba kwa vito na kulala na kila mwenye kujisikia hamu ya kulala naye.
Hatuwezi kuacha kupambana Hayawani huyu ambaye kila uchao hugundua na kuanzisha njama mpya za kunajisi uchumi wa nchi yetu na kututia na mzigo wa ufukara wa kunuka.

Mapambano haya ndiyo kwanza yameanza.
Anajidanganya yule adhaniye yamekwisha, kwani yeye aliyeisha.
Anajidanganya yule adhaniye kwa sababu jumla ya kura inekwisha Tangazwa mwisho wetu umewadia na nguvu yetu ya kupambana imevia.Mtu huyo anajidanganya anajilisha upepo na kujipa matumaini hewa.
Mpambano wa mwana koma ndo kwanza umepatia

Tuna model wetu mzuri sana afaaye kuigwa katika mapambano ya kudai haki yetu.
Mwalimu Nyerere.
Tutatumia njia na nia ile ile aliyotumia mwalimu Nyerere kudai HAKI yetu, Yetu itatiwa chachandu la karne ya 21 ili wote waionjao wajilambe siku zote.
Sioni kiumbe yeyote wa Gizani atakaye weza kupambana na kitimutimu chetu.
Mtabaki na Bunduki virungu na mabomu ya machozi, mtabaki na masuti ya Kaunda na vyuma viunoni mwenu. Mtabaki na mashati ya Yanga bila sarawili.
Mtabaki mmeduwaa msjie la kufanya pamoja na misuli yenu na maguvu yenu.

Mwalimu Nyerere hakupambana na Mahabithi wa Kiingereza kwa kutumia Panga au Nyengo. MWalimu Nyerere alitumia kauri ya mdomo wake na kuweka bayana Taratibu, Kanuni na Sheria ili kumpiga Ngwala Muingereza.
Mwalimu Nyerere hakupata kushika bunduki wala Hakurusha Risasi hata moja. Hakukinga ngumi wala kukunja ndita kutaka kupigana wala hakutamani kumkwaruza mtu kwa makucha. Alitumia Kauri zilizo beba ukweli, Sheria na Haki kupambana na Mkoloni wa kiingereza.

Our Weapon of Choice ni kusema hadharani, ni kuweka mambo wazi, ni kufichua njama, ni kuelimisha umma.
Udhaifu mkubwa wa mtu wa Gizani ni Fedha. Utumiaji mkubwa wa fedha au Utajiri wake kuficha ukweli wa maisha yake ya gizani;au kwa kuyaweka wazi katika namna ambayo umma utadhani ni hadithi na mambo ya mitaani tu au ni kuuficha kwa kununua watu wa kumfagilia na kumpigia debe asilostahili huku wakitoa vitisho vya kiibilisi.

Sisi tutasema yote kuhusu njama za CCM za kuwatia Gizani Watanzania kwa Gharama ya HAKI zao.

Tutasema yote Hadharani bila kujali mvi masharubu au vyuma vyenu viunoni.

Kuandamana ni njia moja ya kudai HAKI lakini si njia pekee.

Mahabithi na Maharamia wa kupoka haki yetu wamemobilize vikosi vya wana Usalama kuhakikisha hatuandamani.
Wamejiandaa kupiga watu marungu kwa mtindo ule ule wa Kaburu wa Afrika ya Kusini enzi zake.
Wamepania kutuvunja viuno vyetu kwa kutumia nafasi yao ya kumiliki Dora kwa Hila.
Wasichojua,siku hizi si lazima tuandamane Barbarani twaweza andamana Mtandaooni na maandamano hayo yakasumbua zaidi kuliko yale ya kuweka Mioro na Huff/kwato zetu barabarani.

Tutaendelea kuandamana, tuaendelea kutoa kauri zetu kali, tutaendelea kufichua njama za UTATU mchafu wa CCM,UWT na NEC kwa umma wote wa Tanzania bila kuchoka.

Tutaendelea kupambana mpaka haki yetu yote tuipate bila mapungufu.

TUTAENDELEA KUPAMBANA ILI CCM WARUDISHE HAKI YETU KWA SABABU NI WAJIBU WETU WATANZANIA KUPAMBANA HAKI YETU IKICHEZEWA.

TUTAENDELEA KUSEMA UKWELI KWA SABABU HAOGOPWI MTU FEDHA YAKE WALA CHEO CHAKE INAOGOPWA HAKI TU.
 
MIMI KWA NIABA YA WAPENDA AMANI TUNOISHI HUKU BUSH NAOMBA DR SLAA ATOE USHAHIDI WAKE KWA KUANZIA JIMBO LAKE ATAGUNDUA WALIOMZUNGUKA NI HAO HAO WATU WAKE WALIOMUELEZA WAMECHUNGULIA CONTEINER LENYE KURA TAYARI AKAAMINI.
AANGALIE TENA JIMBO LA HAI NI Mbunge wamempa CHADEMA LKN RAIS WAMEMPA CCM KIKWETE, 35,910 CHADEMA DR 18,513 UKIENDA IRINGA MJINI amechukua UBUNGE CHADEMA lkn Urais wamempa JK 18,457 SLAA 14,864, KIGOMA KASKAZINI JK ailpata 30,370 DR SLAA 14,773 kwa hiyo ni kuridhika tu URAIS si kitu cha kukimbilia IKULU hakuna Biashara pale, Obama leo anakiona cha moto yote aliyoyafanya lawama Republic wamambana, kuondoa majeshi maboresho ya Afya. Sisi ni kelele tu cement itashushwa mpaka 5,000/= (hivi kuyabeba yale mawe kwenda kuyasaga pale Tanga ili upate cement ni bei gani? ndipo tena uusafirishe mfuko huohuo hadi Mwanza)
Jamani angalieni Wabunge wote lao ni moja huwezi ukaingia madarakani ukachota fungu kupeleka Jimbo la Segerea au Ilemela ni uongo mtupu baada ya miaka 5 patakuwa Moto vijana wadai kazi maisha bora, tena si mbali KAWE tu
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI JAKAYA KIKWETE sasa aondokane na uvumilivu,achape kazi na atakayeedeleza uongo uandiki ni kichapo tu sasa.
Rais akishaapishwa agenda inafungwa, ameruhusu Demokrasia sana, tofauti na kina - Mugabe na Viongozi wote wa Africa

ukwaju
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Tue Oct 2010
Location Dodoma
Posts 4
Thanks 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power 0

Karibu jamvini, I hope ulipata wa kukukaribisha jamvini kule kwenye chumba cha newbees.
 
kituko i totally agree with u.......tangu lini watu wa usalama wakaanza kuitisha press conference kujibu tuhuma hadharani badala ya uzifanyia kazi?
 
1.Toka niwe na ufahamu sijawahi kuona au kusikia usalama wa taifa wanajibu tuhuma dhidi yao hadharani HAPA ndipo unapojua kwamba kuna mushkeli na hichi chombo kabisa.kUNA KILA SABABU YA HUSEMA CHOMBO HICHI KILIHUSIKA NA MFA MAJI HAACHI KUTAPATA THAT WHY WANISHIA KUTAPATA.
2.Kama wewe ni mmoja ulieenda tume ungeweza kushuhudia jinsi UWT walivyokuwa wanahangaika na wanasema wenyewe hawahusiki kabisa na Uchaguzi kwa nini walikuwa wanashinikiza uchakachuliwaji wa matoke?
3.Ushauri kwa Kikwete ajue kwamba wananchi wamemchoka kabisa thats why hata hizo siri za Ikulu na vyovyote wanavyofanya tuanazipata ni hao hao UWT wanapoona yamewazidi huwa wanakimbilia kwa wanasiasa na viongozi wadini mbalimbali ili kutoa malalamiko HII NI PROVE KWAMBA WAMEKUCHOKA ILA TU WANASHINDWA WAFANYAJE KUTOKANA NA KAZI YAO .
4.kIFUPI UWT ya TZ imeoza kabisa inafanya kazi kwa maslahi ya CCM na KIKWETE not maslahi ya Taifa we are tied jamani nafikiri hii ni Taasii hii imeoza kuliko taasisi zote za UWT ulimwenguni,na ni kutokana na mtu aliyewaweka (kikwete)
5.Ukija kwa Ridhiwani na Rostam wamekurupuka mno kujibu na hapo ndipo tunpozidi kujua uhusika wao kwasababu wanatufanya tuende ndani zaidi kufanya uchunguzi wetu.Rostam kugongewa muhuli sio tu unaonyesha ni jinsi ulivyo fisadi na kuweza kucheza vyombo kama uhamiaji ,balozi n.k.Kweli nchi hii imeoza kama watu wachache they can have kila kitu wakitakacho kwa sababu tu ya rushwa then only nguvu ya Umma inaweza kuikomboa hii nchi other than uchaguz poor TZ.
 
unajua hapo ndipo utakapo ona kuwa Usalama wa taifa una mushkeli, sidhani ni busara kwa kiongozi wa juu wa idara hiyo kumjibu Slaa, kilichompasa ni kumwita Slaa na kuchukua data ili wafatilie hiyo ndio maana ya intelligence na wala sio kupayuka mbele ya vyombo vya habari

Mimi nilishangaa sana badala ya kutafiti wanaibuka na kutetea. Ni sawa na Kiravu alivyoibuka kuhusu swal la kura za kule Mbeya za kutoka S. Africa hizi idara za taifa zinaongozwa na vilaza sana
 
Back
Top Bottom