Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,763
Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo.

Kwa hili pia nawapongeza Clouds

AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member)

Last edited by a moderator:
Dr Slaa sio Mtu wa kukopi na Kupesti, na ategeki , na hivyo vichwa vya hapo Mawingu Kibonde at el hawana uwezo wa kumhoji Dr Slaa
 
Kama ilivyokua ITV hata hawa Clouds walimweka JK kidogo akaongelea sera za CCM kwani wanajua watu wengi satakuwa wametune Clouuuuuds FM kusubiri kumsikiliza Raisi wao mtarajiwa na nahisi Clouds wamesense Dr. Slaa atashinda hivyo kama kawaida yao washaanza kujikomba mapemaaaa
 
As expectd mawasiliano yanakatika katika si unajua redio imejaa full usanii? Dr. Kajitambulisha yuko nyumbani kwake anahojiwaa na Gerald Hando eti wanataka afafanue sera zake atazitekeleza vipi kama elimu bure kwa wote, kwa sasa wamekata mahojiano ili sijui bonge atoe taarifa zake yaani ni vituko vitupu
 
Wameona upepo unakoelekea. Uzuri wa clouds media wako flexible sana. Hawana urafiki wala uadui wa kudumu na mtu
 
Hata kama slaa anaongea humo. sihangaishi kichwa changu kusikiliza hilo liredio bofyo.
Kwanza hawana mtu wa kumhoji slaa sana sana wataendekeza ushabiki wa kiccm na kumdhalilisha. Hawajui kwamba wanajimaliza kwani sidhani kama jk angekuwa hapo wangemkatiakatia matangazo kihivyo.
Unajua wanataka kuwaonesha wasikilizaji kisaikolojia kwamba huyu slaa mbona ni wa kawaida mmmmnooooo?!!!

Mdahalo wa itv ulishafunga kazi kwangu. kura yangu nishaiweka kwa slaa nasubiri kusign jumapili kumpitisha
 
hawa si ndio walioandaa birthday jk? Dk anaelezea umaskini uliopo vijijini na mikakati ya chadema kupambana umaskini ikiwemo maradhi. Sasa anaongelea elimu na ajira.
 
Dr anazungumzia udogo wa serikali, na yenye kuwajibika kwa wananchi! Anazungumzia kuondoa wakuu wa wilaya na mikoa.
 
Jamani wakati mwingine tuchukulie kuwa jambo limetokea tu kama ambavyo yanatokea. Msikitafutie kila kitu sababu jamani, sikilizeni hando amalize then ndo mseme sasa kuwa interview ilikuwaje.

Angalau kwa clouds 'Power Breakfast' huwa wanajitahidi nyinyi msidhani clouds woooote ni akina Kibonde wapo wawili watatu ambao wanaharibu kama akina Kibonde. Lakini naona Power Breakfast kama wapo smart. Na vile vile ni kumsaidia Slaa kuwafikia watu wengi zaidi.
 
Anazungumzia suala la kubadilisha Katiba, anatofautisha mchakato wa kubadilisha ya Kenya na Tanzania. Anasema mchakato wa kuanza mabadiliko ya Katiba utaanza ndani ya sikju 100 baada ya kuingia madarakani na anasema Chadema inaahidi uchaguzi ujao wa 2015 utafanyika chini ya Katiba mpya.
 
As expectd mawasiliano yanakatika katika si unajua redio imejaa full usanii? Dr. Kajitambulisha yuko nyumbani kwake anahojiwaa na Gerald Hando eti wanataka afafanue sera zake atazitekeleza vipi kama elimu bure kwa wote, kwa sasa wamekata mahojiano ili sijui bonge atoe taarifa zake yaani ni vituko vitupu
personal HATE!.......
inasikitisha sana kwamba wana habari kwa wanahabari WANACHUKIANA
 
Hata kama slaa anaongea humo. sihangaishi kichwa changu kusikiliza hilo liredio bofyo.
Kwanza hawana mtu wa kumhoji slaa sana sana wataendekeza ushabiki wa kiccm na kumdhalilisha. Hawajui kwamba wanajimaliza kwani sidhani kama jk angekuwa hapo wangemkatiakatia matangazo kihivyo.

Unajua wanataka kuwaonesha wasikilizaji kisaikolojia kwamba huyu slaa mbona ni wa kawaida mmmmnooooo?!!!

Mdahalo wa itv ulishafunga kazi kwangu. kura yangu nishaiweka kwa slaa nasubiri kusign jumapili kumpitisha
MSANII,
personnally nakukubali sana ila naomba ujaribu kuwa FLEXIBLE kidogo kaka.............
by the look naona wadau wengi personnally mnaichukia clouds kama redio
 
Back
Top Bottom