Dk Slaa Mbumbumbu - Kamala

Dr Mlopofu(Slaa) uwa yupo ladhi kuongea uongo kuichafua serikali yaani nia yake ni kuitoa serikali madarakani kwa nguvu sio sera,hapa mi ndio maana uwa namkubali Zitto Kabwe rais wangu mtarajiwa,yeye uwa anahoja nzito kuliko Slaa,pia anaichafua serikali kwa hoja za kweli kama juzi kati kawaokoa wasanii wanavyoibiwa katika makampuni ya simu,katoa hoja kali paka Pinda kapata presha na Kikwete kubadili mawaziri fasta.
 
Slaa anajivunia jeshi.<naimani wanachama hawajui> napia data kutoka kwa hamad rashid. Pamoja na wingi wa vijana ambao wameshikwa akili zao kwa sera za fujo. Naimani kuanzia sasa cdm ina anguka na hawatakua tena na hoja mpya yenye msingi. Ccm kiukweli imeoza bt chadema nimaafa
 
Mpaka leo bado kamala anazungumzia mambo ya kwenye kampeni za urais, dr slaa alisema akipewa nafasi ya urais angetekeleza hayo na watanzania hatukumpa aliyepewa alitoa ahadi nyingi na kubwa lakini mpaka leo hatujaona meli au boti hata moja aliyotoa, Nape anamtetea eti ameanza kuteleza ahadi kwa kugawa ng'ombe monduli!!
 
Slaa anajivunia jeshi.<naimani wanachama hawajui> napia data kutoka kwa hamad rashid. Pamoja na wingi wa vijana ambao wameshikwa akili zao kwa sera za fujo. Naimani kuanzia sasa cdm ina anguka na hawatakua tena na hoja mpya yenye msingi. Ccm kiukweli imeoza bt chadema nimaafa
SWALI LANGU KWAKO ni hili hapo kwenye red colour: Je, kilichooza kinafaa kuliwa? naomba jibu samahani kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom