Dk Mwakyembe Ipo siku treni yako Itatuua

Kanombe

Senior Member
Jan 26, 2014
103
47
Heshima kwenu....
Wakuu hii treni ya mhe Dk Mwakyembe imekuwa msaada sana kwetu sisi wananchi wa hapa Dar wa ubungo Tabata hadi kufika...posta stesheni

Kitu ninachoamini ni kuwa haya mabahewa yana carrying capacity yake ...

sasa jioni ya leo kwa safari yetu ya safari 12 jioni kutoka mjini to Ubungo hali ilikuwa tete...kwani wananchi tulijazwa kwenye mabahewa kiasi kwamba hapakuwa na nafasi hata ya kugeuka au la...hewa ikawa ya shida

Sasa hoja yangu hapa ni kuwa hii ni hatari sana ikitokea changamoto yoyote...mfano ktk safari hio kuna tanker la mafuta lilikuwa katikati ya njia ya reli na likashindwa kutoka hadi treni yetu ikalazimika kusimama...Mungu ashukuriwe treni ilikuwa haina spidi kubwa hivyo dereva wa treni akajitahidi na kuweza kusimama isingekuwa hivo....muda huu ingekuwa ni msiba mkubwa coz crash ya treni na tanker la petrol effect ni fatal

nawasihi wahusika chonde chonde mabehewa yabebe abiria kulingana na uwezo wake ili likitokea la kutokea probability ya rescue iwe above 50% maana hii ya Leo jioni lingetokea
lolote probability ya kuokoka na kujiokoa was less than 5% .....pia traffic chonde chonde na madreva kupaki kwenye reli ni fatal

hao SUMATRA AISEE kama wana husika please
Dk tafadhali fika pale stesheni kama muda utakuruhusu.

otherwise treni inatusaidia sana...ni maboresho tu
Building the Nation different ways
Nawasilisha
 
Kuna siku nilikatiza maeneo ya Karume hakika nilishangaa abiria wa treni wakining'inia kama mbuzi.
 
6]Mwakyembe ni wazir tapeli wa kisiasa Dk Mwakyembe ni miongoni mwa mawaziri makini sanaaaaaaaa
 
mwanzisha mada kaeleza jambo la maana la washabiki wa siasa wameingia kati na kuharibu mjadala....yaani JF siku hizi, kila kitu sasa kinatazamwa katika jicho la CCM/CHADEMA...it sucks to be honest!

:angry::angry:
 
Mbona unawaogopa sana hao? Ma ccm mkisikia Mbowe, Slaa, Mnyika, Lissu mnatokwa Povu?
yaonekana wewe unamapenzi sana na marehemu
10489694_571394712971763_2814909141795918802_n.jpg
 
Mkuu wewe kama mpenda mabadiliko na maendeleo ulichukua hatua gani au ulichoweza kufanya nikuja kuweka bandiko hapa?? Nilitegemea ungekuwa wa kwanza kushuka kwenye tren hiyo kupinga hali uliyoiona au kutoa taarifa kwa mamlaka husika...
 
Watu wa aina yako hawana msaada kwa taifa ili...natama hilo tren lingegonga hilo tenker alafu ufe peke yako...!
 
Mwakyembe hana jipya ni waziri mzigo tu TAZARA mpaka leo hawajalipwa mishahara tangu mwezi wa 4 na mwakyembe anajua anafanya ufisadi tu
 
CHADEMA wakishasikia ni Mwakyembe au Magufuli wanachachawa km mbwa anavyouficha mkia wake mk**8ni
yaani mna mapenzi ya UPOFU hamuamini kizuri chochote mpaka babu na Dj hata kulala makaburini mnaona OK

10489694_571394712971763_2814909141795918802_n.jpg
 
Back
Top Bottom