omukajunguti
Member
- Apr 1, 2012
- 40
- 10
Gamba la Mwakyembe ni la kinyonga inategemea anapolivua yuko kwenye rangi gani . Mnafiki mkubwa , wacha wafu wawazike wafu wenzao. Mgamba yatamalizana yenyewe
uzalendo wa kweli wa mtanzania hujionyesha katika mtazamo. Sidhani kama nyie mnaochangia hapa dhidi ya Dr. ni watanzania wa kweli. Inasikitisha kwamba leo hii kuna mtu mzima na ndevu zake nne, anadiriki kumkejeli Dr. Mwakyembe. Kweli nchi hii imetekwa na watu wanalio na ndoto ya kwamba Lowassa atakuwa rais 2015. Mtatumika sana kama condom.
Hakyamungu!!!! Hivi nyie Chadema mnataka nini lakini?? mbona hata hoja za msingi hivi mnazipotezea? Yani ningekuwa na mamlaka ningekifutilia mbali hiki chama. CCM imewalea mpaka hapo mlipofika, sasa hivi mnajidai kusahau fadhila?? kweli ubinadamu kazi
unatumiwa na mafisadi kama wewe siyo fisadi
anyamaze...........ukurutu umeisha?
Kwenye hiyo tahadhari mi sijaona wapi kamtaja JK. anawaambia wana CCM wenzake kuwa kuna marumbano ndani ya chama chao hapo kuna ubaya gani. unasema akaongelee kwenye baraza la mawaziri kwani kila alichoongea hapo ni cha level ya juu hivyo?. mwache atoe dukuduku lake maana kwenye mikutano ya ndani mnamziba mdomo!