Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Zoka na ighondu ni wakuogopwa! Ila malipo huwa ni hapahapa!
Source: Josephine Mshumbusi Slaa
Zoka na ighondu ni wakuogopwa! Ila malipo huwa ni hapahapa!
naona wewe ushoga ndiyo umekutawala. Kwani haijulikani kuwa Zitto akiandamana na kiongozi wa CCM ana make front pages Tanzania Daima?? ...kana kwamba kahama CDM.
Acha udini mbwiga wewe!!
Ni kweli kama angekuwa ZZK tungetilia shaka.... Its human nature, hata mkeo kama ni kicheche kila ukimuona amesimama na jamaa utahisi mpenzi wake na kama mkeo unamuamini hata akichukuliwa kweli utasema kasingiziwa. Ushauri kwa Zitto ni kuwa arudishe imani kundini maana hata post za ZZK humu zina washabiki tokea upande wa magamba zaidi
siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu nimeamini
Matusi si tija kwenye majadiliano kinachofutwa ni nguvu ya hoja; matusi siku zote wanaanza pro chadema hasa wanapozidiwa ukweli; sijaanza kumtukana mtu huwa najibu mapigo; samahani sana nitadharau tu pale wanapoanza matusi; samahani sana from today onwards you will only see clean post from me.
Chama
Gongo la mboto DSM
Chama, hivi Gongo la mboto unakaa maeneo gani vile?? Nina kamradi kangu ka kuuza vitenge nataka nikuonyeshe baba.
ahaa haa sasa vitenge nivae au nimnunulie bibi mzaa mama; niambie vitenge unauzia wapi
Chama
Gongo la mboto DSM
Natembeza kwenye ka starlet kangu. Vitenge vya Chadema, t shirt, na gwanda. Niungishe basi mtani..
AhaAa wanafiki wa Chadema mnapongeza Sugu geuzeni santuri iwe Zitto ndio kaandama na Sitta naona mziki wake JF pangekuwa hapatoshi
Chama
Gongo la mboto DSM
Umeathiriwa na yale makemikali ya mabomu yaliyolipuka na mbaya zaidi serikali ya CCM haijakupa fidia yako sasa umedata. Wapi, lini na kwa lipi tuliwahi kumkoroga Zitto kwa kufuatana na fulani. Umbea tu
Hivi wewe Pimbi usiyeamini dini una credibility ipi ya kusema udini?! Ade Gamisu.naona wewe ushoga ndiyo umekutawala. Kwani haijulikani kuwa Zitto akiandamana na kiongozi wa CCM ana make front pages Tanzania Daima?? ...kana kwamba kahama CDM.
Acha udini mbwiga wewe!!