Dk. Mwakyembe afunguka! Aeleza mkakati wa kumuua ulivyopangwa...

Anzisha thread ya kumsifu , kumtukuza na kumwabudu Zitto Kabwe hujakatazwa, hii ni thread ya Mwakyembe kutoa shukrani, tafadhali msituletee tabia za kishoga kwenye hii thread.

wewe Matola ndio unayeongea kama shoga ni kawaida yenu kwa kukwepa ukweli geuza santuri iwe Kabwe ndio kaongozana na Mwakyembe; mbona unafiki wenu haujifichi kila mnapoelezwa ukweli?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Siku hizi nimeacha kabisa kumwani Sita bora hata Zito katika hili!!!
 
Anzisha thread ya kumsifu , kumtukuza na kumwabudu Zitto Kabwe hujakatazwa, hii ni thread ya Mwakyembe kutoa shukrani, tafadhali msituletee tabia za kishoga kwenye hii thread.

Mkuu Matola, kwanza nakuheshimu sana na usitegemee mimi kukutusi kama unavyoprovoke.
Pili, ninachokizungumzia ni kitu ambacho kipo na najua kinawagusa 'wafikiri hovyo' wengi humu jukwaani.
ZZK 2015 amekua akifuatiliwa na watu wengi nje na ndani ya CHADEMA kwa kila anachofanya, akikosolewa na kukashifiwa huku mambo hayohayo yakifanywa na watu/ viongozi wengine wa CDM wanasifiwa.
Mfano, leo hii Sugu anasifiwa kwa kushirikiana na kina Mwakyembe wakati ZZK akisogoleana na mwana CCM yeyote ni majungu matupu. Mfano mzuri ni juzi hapa alipoenda na Spika nje ya nchi kwa shughuli za kibunge.
Vilevile, siku si nyingi tulimsikia John Heche akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Tarime, wakati ZZK alipotoa msimamo wake kuhusu kugombea urais yalitoka majungu kama haya haya.
Kama tunataka demokrasia ya ukweli ndani ya chama mambo ya kibaguzi kama haya ni lazima yaepukwe. Trust me, mambo haya yana athari kubwa kwa chama.
 
wewe Matola ndio unayeongea kama shoga ni kawaida yenu kwa kukwepa ukweli geuza santuri iwe Kabwe ndio kaongozana na Mwakyembe; mbona unafiki wenu haujifichi kila mnapoelezwa ukweli?

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama ninavyojua wewe sio mtu wa matusi nakujibu kwa namna hii wewe ni mtu wa kushuka ndogo always. Kulikoni chama?
 
Chama ninavyojua wewe sio mtu wa matusi nakujibu kwa namna hii wewe ni mtu wa kushuka ndogo always. Kulikoni chama?

Matusi si tija kwenye majadiliano kinachofutwa ni nguvu ya hoja; matusi siku zote wanaanza pro chadema hasa wanapozidiwa ukweli; sijaanza kumtukana mtu huwa najibu mapigo; samahani sana nitadharau tu pale wanapoanza matusi; samahani sana from today onwards you will only see clean post from me.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ni kweli kama angekuwa ZZK tungetilia shaka.... Its human nature, hata mkeo kama ni kicheche kila ukimuona amesimama na jamaa utahisi mpenzi wake na kama mkeo unamuamini hata akichukuliwa kweli utasema kasingiziwa. Ushauri kwa Zitto ni kuwa arudishe imani kundini maana hata post za ZZK humu zina washabiki tokea upande wa magamba zaidi

We nae ndo wale wale ambao kila anayewapa challenge kidogo mnamuona gamba. Hiyo ni dalili ya kua na akili mgando.
 
Tatizo siyo kwamba "ingekuwa ni ZZK 2015",tatizo ni hautumii akili yako kufikiria,jiulize kama Sugu alialikwa,basi ungeuliza swali ni kwanini Mwakyembe hakumwalika "ZZK 2015",(endapo hakuwepo).Tumia ubongo uliopewa,wanasema kichwa ulichopewa si cha kufugia nywele peke yake.

Kumbe kuna kualikana?
Vipi pale ZZK 2015 anapotimiza majukumu yake ya kibunge hawakauki mdomoni kama mate?! Acheni unafiki vijana.
 
Hapo mh sugu kanyesha utu na ungwana mkubwa.kwanza mwakiembe ni mwanambeya,alipatwa na matatizo leo kaenda kutoa shukrani mkoani mbeya,kuna ubaya gani kupewa kampani na wabunge wa mbeya?hii inaonyesha mshikamano na umoja kwa wabunge kutoka mbeya,achilia mbali vyama vyao vya siasa.big up sugu.
 
Anzisha thread ya kumsifu , kumtukuza na kumwabudu Zitto Kabwe hujakatazwa, hii ni thread ya Mwakyembe kutoa shukrani, tafadhali msituletee tabia za kishoga kwenye hii thread.
naona wewe ushoga ndiyo umekutawala. Kwani haijulikani kuwa Zitto akiandamana na kiongozi wa CCM ana make front pages Tanzania Daima?? ...kana kwamba kahama CDM.
Acha udini mbwiga wewe!!
 
Ha ha ha! asante mzee king kikii kwa kuniwakilisha mimi shabiki wako na mzee wa burudani, ndio maana sikukuona j1 na j5 pale laprima na wipes repectively. COME BACK SOON MUZEE KIKUMBI MWANZA.
 
Ni jambo jema kumshukuru Mungu katka kila kitu, nampongeza Dr Mwakyembe , hasa kwa kuwakutanisha wasanii"Sugu".

"Amen!" Sisi sote ni ndugu na nchi yetu ni moja, tunachopigania ni kwa manufaa yetu sote, ugonvi, fitina si suluhisho la kupata haki, bali kushindana hoja ndio mwingi wa wapenda amani, ndio kukaa pamoja na kujadili mada kunajenga hali ya kuelewana zaidi.

Hopefully kuna siku tutakumbuka safari yao kwenda huko kando ya Ziwa Nyasa, lini jibu kila mmoja wetu anajua mwenyewe kadiri ya upeo wa kufikirika.
 
Matusi si tija kwenye majadiliano kinachofutwa ni nguvu ya hoja; matusi siku zote wanaanza pro chadema hasa wanapozidiwa ukweli; sijaanza kumtukana mtu huwa najibu mapigo; samahani sana nitadharau tu pale wanapoanza matusi; samahani sana from today onwards you will only see clean post from me.

Chama
Gongo la mboto DSM

attachment.php

Walai wengine wanafikiri siasa ni vita, wenye kutojua maana ya kushindana hoja kusukumania vijiweni wakati wanaojua siasa zina nafasi yake kisha mambo muhimu tuko meza moja ya mzunguko.
 
wewe Matola ndio unayeongea kama shoga ni kawaida yenu kwa kukwepa ukweli geuza santuri iwe Kabwe ndio kaongozana na Mwakyembe; mbona unafiki wenu haujifichi kila mnapoelezwa ukweli?

Chama
Gongo la mboto DSM
Ndugu yangu chama usijaribu kabisa kujibishana na Matola utaishia kwenye ban zomba anaufahamu mziki wake
 
Huyu Hapa!

Mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini Kabwe Zitto (kulia) akizungumza na mkuu wa wilaya ya Ikungi Manju Msambya wakiwa kwenye mazishi ya baba wa mbunge wa jimbo la Singida mashariki,Tundu Lissu.(Picha zote na Nathaniel Limu).

hiyo shati ya zitto ya kifisadi.

anayejuwa bei yake atujuze

hasa nyie wataalam wa matirio za vitambaa.
 
Back
Top Bottom