Dk. Mwakyembe afunguka! Aeleza mkakati wa kumuua ulivyopangwa...

naona wewe ushoga ndiyo umekutawala. Kwani haijulikani kuwa Zitto akiandamana na kiongozi wa CCM ana make front pages Tanzania Daima?? ...kana kwamba kahama CDM.
Acha udini mbwiga wewe!!

jibu liko hapa!!!

Ni kweli kama angekuwa ZZK tungetilia shaka.... Its human nature, hata mkeo kama ni kicheche kila ukimuona amesimama na jamaa utahisi mpenzi wake na kama mkeo unamuamini hata akichukuliwa kweli utasema kasingiziwa. Ushauri kwa Zitto ni kuwa arudishe imani kundini maana hata post za ZZK humu zina washabiki tokea upande wa magamba zaidi
 
the balkanization of tanzanian politics...wakigoma, wa kaskazini, wapwani, kusini, bado wahaya na wasukuma hawajaamka na kuchukua advantage ya namba na maeneo yao.
 
Matusi si tija kwenye majadiliano kinachofutwa ni nguvu ya hoja; matusi siku zote wanaanza pro chadema hasa wanapozidiwa ukweli; sijaanza kumtukana mtu huwa najibu mapigo; samahani sana nitadharau tu pale wanapoanza matusi; samahani sana from today onwards you will only see clean post from me.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama, hivi Gongo la mboto unakaa maeneo gani vile?? Nina kamradi kangu ka kuuza vitenge nataka nikuonyeshe baba.

 
ahaa haa sasa vitenge nivae au nimnunulie bibi mzaa mama; niambie vitenge unauzia wapi

Chama
Gongo la mboto DSM

Natembeza kwenye ka starlet kangu. Vitenge vya Chadema, t shirt, na gwanda. Niungishe basi mtani..

 
Natembeza kwenye ka starlet kangu. Vitenge vya Chadema, t shirt, na gwanda. Niungishe basi mtani..


Hizo mimi sitakuwa na sehemu za kuzivaa ila nipo tayari kumnunulia Molemo; Matola, Mwita Maranya na Precise Pangolin na wewe mwenyewe ukipata moja sio mbaya

Chama
Gongo la mboto DSM
 
AhaAa wanafiki wa Chadema mnapongeza Sugu geuzeni santuri iwe Zitto ndio kaandama na Sitta naona mziki wake JF pangekuwa hapatoshi
Chama
Gongo la mboto DSM

Umeathiriwa na yale makemikali ya mabomu yaliyolipuka na mbaya zaidi serikali ya CCM haijakupa fidia yako sasa umedata. Wapi, lini na kwa lipi tuliwahi kumkoroga Zitto kwa kufuatana na fulani. Umbea tu
 
Umeathiriwa na yale makemikali ya mabomu yaliyolipuka na mbaya zaidi serikali ya CCM haijakupa fidia yako sasa umedata. Wapi, lini na kwa lipi tuliwahi kumkoroga Zitto kwa kufuatana na fulani. Umbea tu

Mkuu pata anagalau kifunguo kinywa mapema sana saa hizi kuanza kushambulia kwa silaha za sumu; kwani nyumba zote Gongo la mboto ziliharibiwa na mabomu? Yangu ni moja ya zilizo salimika nipo poa tu mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Naona professa kama hana furaha hivi?Kwani sugu anampango wa kupeleka M4C Rungwe!!!By The way Mama Six huku ndio home,so Mdingi kaenda kwa Wakwe na hapa anahudhuria sherehe ya Shemeji kushukuru kwa uponyaji hakuna ubaya hapo.one :A S-heart-2:
 
naona wewe ushoga ndiyo umekutawala. Kwani haijulikani kuwa Zitto akiandamana na kiongozi wa CCM ana make front pages Tanzania Daima?? ...kana kwamba kahama CDM.
Acha udini mbwiga wewe!!
Hivi wewe Pimbi usiyeamini dini una credibility ipi ya kusema udini?! Ade Gamisu.
 
Ni jambo la kufurahisha sana na inaonesha kukomaa kisiasa kwa wabunge husika katika kuliletea taifa lao maendeleo,leo kuna baadhi ya wabunge hata kusalimiana ni tatizo na wanaona wabunge wa upinzani ni kama usaliti kitu ambacho wanakuwa wanakosea.
 
  • Muuaji wake alitoa taarifa za mpango
  • Profesa Mwandosya asema wote walipimwa yaleyale
  • Sugu amtaka Dk. Mwakyembe CHADEMA
  • Sitta aponda siasa za Tanzania

Raia Mwema | Toleo la 260 | 26 Sep 2012

SHUHUDA zilizotolewa wakati wa ibada ya shukrani ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, zilikuwa ujumbe tosha kuhusu kuwapo kwa mitandao ya kiharamia iliyolifikisha Taifa pabaya.

Zaidi, angalia 1st post kwenye hii thread
 
Back
Top Bottom