DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
DR fwata Mkumbo
Katika kufuatilia mtu anaye itwa Dr kitila, nimegundua ni mtu anayetaka kuonyesha umma kuwa yeye ni mtu mwenye akili, mwenye uwezo na amewazidi watu wengi hasa ukichukulia yeye ni daktari...
Naanza kuona kuwa yeye kuongozwa na mtu kama mbowe, alijiona kama amedharauliwa.
Naomba kujua zaidi CV yake, amesoma wapi, kozi gani, na uzuri wake upo ktk nyanja zipi.
Ni ujinga pia kuwa na elimu usiyo jua kuitumia..
Hapana Tychicus, Kitila ni msomi mzuri tu, tena mwenye kipaji kikubwa cha uongozi, nashindwa kuelewa kaingiliwa na mdudu gani yarabi??
Yaani kati ya watu nilio wategemea kwamba siku moja watakuja kuwa wakuu wa nchi ama hata waziri mkuu, ni huyu kijana.. kweli nimeamini ZITOISM ni ugonjwa mbaya sana ulimmaliza Kafulila sasa naona una mgalagaza daktari Kitila
Ndiyo, ni mali ya wanaCHADEMA.Mungi, hiyo Chadema ni mali yenu?
Ulihamia wapi?, CCJ au?CCM Ndo chama cha muasisi wa Taifa mwalimu wa walimu kila nyumba ina mwanachama narudi CCM Kwani Chatosha kingine chanini!
Hapana Tychicus, Kitila ni msomi mzuri tu, tena mwenye kipaji kikubwa cha uongozi, nashindwa kuelewa kaingiliwa na mdudu gani yarabi??
Yaani kati ya watu nilio wategemea kwamba siku moja watakuja kuwa wakuu wa nchi ama hata waziri mkuu, ni huyu kijana.. kweli nimeamini ZITOISM ni ugonjwa mbaya sana ulimmaliza Kafulila sasa naona una mgalagaza daktari Kitila
nyerere vs lowasa/nchemba? are you kidding? nyerere MA ya edinburgh university.
A Psychology doctorate degree holder of the University of Southampton, UK, Dr. Kitila Mkumbo is currently Lecturer and Head of the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies, School of Education, University of Dar es Salaam, Tanzania. Formerly, Dr Mkumbo has served the University of Dar es Salaam in the capacity of Administrative Officer having been President of the Students Organization (DARUSO) when he was in his undergraduate studies (1998 -1999). He has researched and published widely in the areas of Educational Psychology, in particular focusing on Young Persons behaviours and attitudes. Interms of memberships, Dr Mkumbo is a member of various professional Associations including Tanzanian Psychological Association (TAPA) as Secretary General; Tanzania Public Health Association (TPHA); World Association for Sexual Health (WAS); African Federation for Sexual Health (AFSH) and Society for Social Psychology Study of Social Issues (SSSI).