Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

Formerly, Dr Mkumbo has served the University of Dar es Salaam in the capacity of Administrative Officer having been President of the Students Organization (DARUSO) when he was in his undergraduate studies (1998 -1999).

Hapa nimetoka kapa, sijaelewa kitu kabisa
 
Chadema kuweni na stara na viongozi wenu sio vyema kuanza kuwachamba viongozi wenu kwani siku ya mwisho ukimtusi mama yako aibu inakuwa yako!

Sio CCM walimteua Dr Mkumbo wala ZZK Bali ni chadema! Kwahiyo aibu hii ni yenu nyie wenyewe!
 
Back
Top Bottom