Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

Katika kufuatilia mtu anaye itwa Dr kitila, nimegundua ni mtu anayetaka kuonyesha umma kuwa yeye ni mtu mwenye akili, mwenye uwezo na amewazidi watu wengi hasa ukichukulia yeye ni daktari...

Naanza kuona kuwa yeye kuongozwa na mtu kama mbowe, alijiona kama amedharauliwa.

Naomba kujua zaidi CV yake, amesoma wapi, kozi gani, na uzuri wake upo ktk nyanja zipi.

Ikusaidie nn?Mwenzio kapga shule ndo maana leo dr we endelea na kuhangaika kupeleleza vsomo vya wenzio
 
Dr.is good inapokuja swala la halmashauri mukichwa hili kapigwa daflau tu na weledi wake hauna shaka. He has record of accomplishment in bongo politics na anayo nafasi ya turning things arround ila katia mikono katika kapu la wajanja ndio ajali ya kisiasa ikamkuta.
 
Ni ujinga pia kuwa na elimu usiyo jua kuitumia..


Hapana Tychicus, Kitila ni msomi mzuri tu, tena mwenye kipaji kikubwa cha uongozi, nashindwa kuelewa kaingiliwa na mdudu gani yarabi??

Yaani kati ya watu nilio wategemea kwamba siku moja watakuja kuwa wakuu wa nchi ama hata waziri mkuu, ni huyu kijana.. kweli nimeamini ZITOISM ni ugonjwa mbaya sana ulimmaliza Kafulila sasa naona una mgalagaza daktari Kitila
 
Ukitaka kujua Ubora wa Elimu ya Dkt Mkumbo Pitia Waraka wake wa Mabadiliko 2013, jenga tamaduni ya kusoma acha uvivu wa kuachia wengine wasome waje kukuletea Summary za kishabiki. Soma waraka uone kipaji alicho nacho Mkumbo!
 
Ahamie ccm, akakutane na lundo la maprofesa lakini wanaongozwa na J.K hata masters hana.
 
Hapana Tychicus, Kitila ni msomi mzuri tu, tena mwenye kipaji kikubwa cha uongozi, nashindwa kuelewa kaingiliwa na mdudu gani yarabi??

Yaani kati ya watu nilio wategemea kwamba siku moja watakuja kuwa wakuu wa nchi ama hata waziri mkuu, ni huyu kijana.. kweli nimeamini ZITOISM ni ugonjwa mbaya sana ulimmaliza Kafulila sasa naona una mgalagaza daktari Kitila

Birds of the same feathers Flock together, ndio maana hatushangai Lema Rafiki yake kuwa Sugu, hiyo uliyoita ZITOISM ndo inamuogopesha Mbowe kukabiliana na Zitto kwenye Sanduku la Kura, Hata Heche nae pia kaelewa Falsafa ya Zitto kukitoa Chama kutoka kwenye Mikono ya Familia ya Mtei na kukirudisha kwa wanachama!
 
CCM Ndo chama cha muasisi wa Taifa mwalimu wa walimu kila nyumba ina mwanachama narudi CCM Kwani Chatosha kingine chanini!
 
Dr Kitila Mkumbo
1. ameshiriki kuandaa ilani ya Chadema 2010-2015
2. alishiriki kuratibu kampeni za uchaguzi 2010 yeye akiwa makamu mwenyekiti na profesa Baregu akiwa mwenyekiti
3.alishiriki kutengeneza na kusimamia utaratibu mzuri wa kupata wabunge wa viti maalumu 2010
 
Last edited by a moderator:
Hapana Tychicus, Kitila ni msomi mzuri tu, tena mwenye kipaji kikubwa cha uongozi, nashindwa kuelewa kaingiliwa na mdudu gani yarabi??

Yaani kati ya watu nilio wategemea kwamba siku moja watakuja kuwa wakuu wa nchi ama hata waziri mkuu, ni huyu kijana.. kweli nimeamini ZITOISM ni ugonjwa mbaya sana ulimmaliza Kafulila sasa naona una mgalagaza daktari Kitila

Lilipokuja swala la serikali tatu watu karibu wote hapa jf walipendekeza agombee urais wa Tanganyika ila mimi nilistuka kidogo kusikia hivyo maana niliangalia umri wake maana sisi vijana mara nyingi busara kupotea yanapotokea mambo nyeti ni dk 2 tu, ila niliogopa zaidi niliposikia kuwa ni swahiba wa karibu wa Zitto maana huyu Zitto mi simwamini popote na kwa kauli yoyote ile. Ushauri kwa Kitila ...Bw. Kitila ww ni msomi tena wa kucheza na saikolojia za watu sasa mtu mbabaishaji kama Zitto anapokuja kuindesha saikolojia yako unanishangaza sana na umenifanya nisikwamini milele...na nikuombe tu achana na siasa maana kwa mwendo huo utakuja kuishia pabaya kwani siasa za kijasusi zitakugharimu sana na ukizingatia huku mtaani vijana tumepigika sasa kwa wasariti kama wewe na zitto tunatamani tugawane hizo nguo zenu
 
uongozi ni hekima na busara, kwani nyerere anaelimu gani ya kumfikia lowassa au nchemba? lkn pamoja na elimu zao zote ni kiongozi gani anaweza hata kufikia robo ya robo ya busara za mwalimu???
 
I am sorry but i would refer him as a foolish PHD holder, simple. Na hizi shule za kishenzi shenzi ni aibu tu, mbona hawasomei issues nyeti, ni bla bla tu, nani atagundua vitu vya maana kama kila mpiga kelele kasoma bla bla za hapa duniani. nondo na wakata nondo wako wapi???
 
Kuna kusoma na kuuzuria shule jamani na hii haijarishi umesoma shule gani, kipimo cha usomi ni performance yaani post school /college performance. Kama kweli umehitimu vizuri matendo nayo yatakuwa lead academic na otherwise kama uliuzuria.

Nitoe mfano wa senior lecturer and professor aliyekabidhiwa shirika la nishati hapa nchini akapandisha bei ya umeme despite lots of other avenues tha ku raise income ya shirika lakini hawezi ku think out of the box anang'ang'ana na mfumo wa watangulizi wake kwenye wizara hiyo ambao hawakuwa maprofessor.

Hii inaonesha hata chuo wanafunzi wake alikuwa anawalisha outdated materials!

Kuna msemo eti kusoma sio kuelimika nami naongezea huwezi kuwa msomi wa kila kitu, kama ni msomi katika uinjinia bado utakuwa mjinga katika udaktari wa binadamu, kama ni msomi katika kilimo basi utakuwa mjinga katika ujenzi etc etc.
 
A Psychology doctorate degree holder of the University of Southampton, UK, Dr. Kitila Mkumbo is currently Lecturer and Head of the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies, School of Education, University of Dar es Salaam, Tanzania. Formerly, Dr Mkumbo has served the University of Dar es Salaam in the capacity of Administrative Officer having been President of the Students Organization (DARUSO) when he was in his undergraduate studies (1998 -1999). He has researched and published widely in the areas of Educational Psychology, in particular focusing on Young Persons’ behaviours and attitudes. Interms of memberships, Dr Mkumbo is a member of various professional Associations including Tanzanian Psychological Association (TAPA) as Secretary General; Tanzania Public Health Association (TPHA); World Association for Sexual Health (WAS); African Federation for Sexual Health (AFSH) and Society for Social Psychology Study of Social Issues (SSSI).

Hili ndio tatizo lake kubwa, CV yake inaonyesha hana upeo mwingine zaidi wa chakichaki. Angetoka akatumikia jamii ya waliokomaa na yeye angekomaa kiakili, sasa yeye na wanafunzi tu atakuwa anawaza migomo na kukomoana
 
Chimbuko la misuko suko ndan ya CHADEMA NI KUBWA,HALIJAANZA LEO WALA JANA,

Thats why MZEE SAID ARFI KASEMA KWAMBA TATIZO NI AYATOLLAH MTEI,TATIZO WACHAGA WAKIELEZWA HILI HAWATAKI KULIKUBALI,WANARUSHA NGUMI HEWAN,KWANIN??
 
Back
Top Bottom