Jamani huyu kijana wetu Lema, hongera kwa kazi mkuu. But be very careful na hata hao wanaohama maana kuna ambao watatumwa kufanya mambo. Hakikisha una usalama wa kila kinachoingia kinywani mwako, chakula na maji, etc. Na mahali pa kulala ni siri yako na ikiwezekana change hotels!!! Kazi inayofanyika kwa sasa ni hatari kwa Magamba and can do anything. Hawana amani kwa sasa.
Mkuu jaribu hata kuangalia kwenye youtube utaona mziki wake harafu ukweli ni kwamba wananchi wameichoka CCM mpaka watu wa arusha wanasema chadema hata ikisimamisha mavi zidi ya ccm...mavi yatashinda
Breaking News:
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM) Wilaya ya Sengerema Adrian Tizeba amekihama chama hicho na kuhamia CHADEMA,
Diwani huyo kwa sasa yuko na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema pamoja na Katibu wa Chadema Kinondoni wakielekea kwenye mkutano wa hadhara Mjini Geita ambapo atakabidhiwa kadi yake mpya ya CHADEMA na Katibu wa Mkuu wa chama hicho Mh. Wilbrod Slaa,
Kwa Mujibu wa Mh. Lema, kesho atawatangaza Madiwani wengine wanne wa Jimbo la Sengerema (CCM) wakiwa na wenyeviti 22 wa vitongoji pamoja na wanachama wao ambao kwa pamoja wamehamua kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia CHADEMA wakilalamika kufilisikia kimawazo na kimtazamo kwa kilichokuwa Chama chao.
Sikiliza Arusha Mambo FM, tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM..." na tutajiunga na na wenzetu walioko eneo la tukio ili kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja ya kuhama kwa diwani huyo.
Source Arusha Mambo.
naomba madiwani wote wa ccm nchi nzima wajiuzuru! Patakuwa patamu sana hapo. Hivi hao wanaojiuzuru uchaguzi utafanyika upya?
nimeipenda hii t shirt.unauza wapi wewe?au umejiandikia?ccm ndo kinaagaMkuu nitapatawapi hii Ndisheti?