Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

avatar35342_4.gif
mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?
kaa kimya Lema c kama wewe...ambaye demu wako alifuata hela,kazi ...
 
Magamba midomo wazi kama wameshikwa ugoni, natabiri watetezi wa ccm humu ndani watabadili ID na kujoin M4C.
karibuni, msione haya!
 
Magamba midomo wazi kama wameshikwa ugoni, natabiri watetezi wa ccm humu ndani watabadili ID na kujoin M4C.
karibuni, msione haya!

Wapi Ritz,Wapi Rejao,Wapi Tuntemeke,Wapi WilCard, Wapi Kimbunga?
 
Back
Top Bottom