Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

Lema apigwe marufuku kuingia Dodoma, huyu mtu ni hatari sana anaweza sababisha chaguzi ndogo nyingi sana kama akiingia Dodoma, sasa ameanza na madiwani unadhani baada ya hapo ni nini?..lols
Ni jambo la busara kuwa na madiwani wengi kwani automaticaly tutakuwa na wabunge wa kutosha na tutakuwa wenyeviti wa halimashauri nyingi
 
Breaking News:

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM) Wilaya ya Sengerema Adrian Tizeba amekihama chama hicho na kuhamia CHADEMA,

Diwani huyo kwa sasa yuko na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema pamoja na Katibu wa Chadema Kinondoni wakielekea kwenye mkutano wa hadhara Mjini Geita ambapo atakabidhiwa kadi yake mpya ya CHADEMA na Katibu wa Mkuu wa chama hicho Mh. Wilbrod Slaa,


Kwa Mujibu wa Mh. Lema, kesho atawatangaza Madiwani wengine wanne wa Jimbo la Sengerema (CCM) wakiwa na wenyeviti 22 wa vitongoji pamoja na wanachama wao ambao kwa pamoja wamehamua kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia CHADEMA wakilalamika kufilisikia kimawazo na kimtazamo kwa kilichokuwa Chama chao.

Sikiliza Arusha Mambo FM, tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM..." na tutajiunga na na wenzetu walioko eneo la tukio ili kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja ya kuhama kwa diwani huyo.

Source Arusha Mambo.


Jamani huyu kijana wetu Lema, hongera kwa kazi mkuu. But be very careful na hata hao wanaohama maana kuna ambao watatumwa kufanya mambo. Hakikisha una usalama wa kila kinachoingia kinywani mwako, chakula na maji, etc. Na mahali pa kulala ni siri yako na ikiwezekana change hotels!!! Kazi inayofanyika kwa sasa ni hatari kwa Magamba and can do anything. Hawana amani kwa sasa.
 
CCM walisema hv ni vyama vya msimu...ni kweli chadema ni chama cha msimu; msimu ukimalizika tutakuwa tana-apishwa kwa ushindi wa kimbunga. HUU NI MSIMU WA KUWAKOMBOA WATANZANIA TU.
 
sisiemu wanatamani wamrudishie lema ubunge wake coz anawachapa fimbo za macho,watanyooka msimu huu,laana inawaandama,mara zote fitna zao znawageuka,watakoma mwaka huu
 
Diwani wa kata ya Lugata(Adrian Tizeba) Sengerema amejiunga rasmi na chadema na ameondoka na mh Lema kutoka sengerema kwenda Geita ambapo atakabidhiwa kadi nakatibu mkuu wa chadema Dr. Slaa na kesho madiwani wanne jimbo la sengerema na wenyeviti wa vitongoji 22 watajiunga na chadema...

Source: Godlbess Lema
Things fall apart! je na wale wenyeviti wa vitongoji mbana habari zake hatuja zipata tena?
Bwana amesikia kiliochetu
 
Usiogope....tena jiandae vizuri, mwaka 2016 wewe ndiye utakaeshika
nafasi ya mama Celina Kombani. Toka uko ccm na uje people's power.
Wewe ni mtu mzima nafikiri umenielewa.
:focus:

nimekuelewa mkuu .... . lete moja baridi na moja moto kwa watu wote wanaochangia kwenye thread hii
 
huyu lema anahigh convicing power anavyoimaliza ccm huko kanda ya ziwa duh!
 
Back
Top Bottom