Diwani wa kata ya ubungo CHADEMA, Jimbo la Ubungo

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa CV na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sana (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati Mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

Naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. asanteni.
 
Namjua vilivyo, Anaitwa Boniface, mzaliwa wa Ubungo maziwa, amezaliwa mwaka 1986, ana miaka 28. Amesoma shule ya Msingi Mabibo, sekondari sikumbuki, amemaliza Chuo Kikuu Dar Es Salaam mwaka 2010 with B.A Environmental Science. Ni mpambanaji tangu enzi hizooo mpaka Chuoni alipojipambanua na CHADEMA na kisha kugombea UDIWANI. PIA ni mwanamazoezi sana i.e ananyanyua vitu vizito (Baunsa) na kumfanya aonekane na mwili uliojaa na kukomaa kweli kweli . Kwa kifupi huyo ndiye Boniface, Diwani wa Ubungo.
 
Kweli wewe unamjua aisee.
 
Anaitwa Mh. Boniface Jacob, aisee aliwah kuwa mwalim wangu wa jogi. Anajiamini anajua kujenga hoja na ni msomi mzur tu, pia ukizingua ni mtata saana. ila yeye ni mwalim by professional (Ba Ed) tena wa history na jeography kama sikosei, Pia ana gym yake hapa ubungo maziwa. Tupo nyuma yako Mh. Ticha bonny,..
 
sasa hapa tunajadili nini? kinyesi.

Wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa CV na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sanaaaaaaaaaaa (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati Mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

Naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. asanteni.
 
Namjua vilivyo, Anaitwa Boniface, mzaliwa wa Ubungo maziwa, amezaliwa mwaka 1986, ana miaka 28. Amesoma shule ya Msingi Mabibo, sekondari sikumbuki, amemaliza Chuo Kikuu Dar Es Salaam mwaka 2010 with B.A Environmental Science. Ni mpambanaji tangu enzi hizooo mpaka Chuoni alipojipambanua na CHADEMA na kisha kugombea UDIWANI. PIA ni mwanamazoezi sana i.e ananyanyua vitu vizito (Baunsa) na kumfanya aonekane na mwili uliojaa na kukomaa kweli kweli . Kwa kifupi huyo ndiye Boniface, Diwani wa Ubungo.[/QUOTE

SEKONDARI ALISOMEA SHULE YA PARANE SECONDARY SCHOOL IKO MILIMA YA UPARE (MYAMBA), KULE JIMBONI KWA MAMA ANNE KILANGO KULIKOWAHI KUTOKEA MAFURIKO. NI KIJANA MTATA KAMA ANAVYOONEKANA. NIMEMFUNDISHA SEKONDARI NAMFAHAMU VIZURI
 
Kwa kweli kila ninapomwona huwa nafarijika sana.Laiti vijana wa kitanzania tungekuwa na uthubutu kama Boni
 
Wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa CV na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sanaaaaaaaaaaa (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati Mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

Naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. asanteni.

Unataka kumjua, haya cv yake hii;
1.Msukule.
2.Hajitambui.
3,Hana elimu.
4.Ni kibaka mzoefu wa manzese.
5,Mpiga debe mkongwe.
6.Jamaa huishi kwa kutegemea maandamano ili apore.
7,Amekulia manzese Uzuri,maeneo ya Mafichoni, Jirani na Mwembe mkole.
 
Back
Top Bottom